Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Hapana jamaniiAisee kweli leo umeamua kunichunia kwahiyo text zangu huzioni eenh au adhabu ya kichura chura na kimini niiamishie kwako
Hapana jamaniiAisee kweli leo umeamua kunichunia kwahiyo text zangu huzioni eenh au adhabu ya kichura chura na kimini niiamishie kwako
Tatizo utani unazidi inabidi tuwe siliasi kidogo dear...Acha tu niendelee kukupenda Baba D wangu![]()
Naweza acha data on nikaendelea na Mambo mengineMbona jf yupoooo simu hapokei text hajibu jaman
Duh!ndio imeanza kumtokea leo? Au alishawah kuexperience hivo?Anauoga tu yaan anaogopa ogopa tu
Maeneo za sanawari mkuuChuga mitaa gani eroo?
Mbona sura kama ya Olasiti hivi?
ShemuHapana jamanii
Ila ni niniiiHapana jamanii
Yaani naogopa tuuShida nini mamy?
Madame S
Zimefika mpenzi asante sana
Baba D utani mwingi ujue si mzuri usitake kuniua ghaflaTatizo utani unazidi inabidi tuwe siliasi kidogo dear...
Ila waambie mwezi wa 12 ndoa ...hope kila mtu apa atakaye kuwa tayar kadi atapata
Data on veep nimekuta reply zakoNaweza acha data on nikaendelea na Mambo mengine
Ngoja aje kujibuDuh!ndio imeanza kumtokea leo? Au alishawah kuexperience hivo?
Madame S
Asante mamy
AbeeShemu
Ila shunie mama D yaan ulivomrembo wangu ndo unavopatia kunikoshaa na avatar....hiyo unanifanya niishii kwa wasiwasi make haina tofauti na u cute wako ...Ila ni niniii
Nisamehe mdogo wanguIla ni niniii