makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,820
- 103,873
Hao wote walikula mjani.. bangi mbaya mnooo
Tycoon MAKAVELI Jr.

Lose yourself.. bonge la ngoma,
Salama za kwako shemuHabar zenu ndugu zangu...
Tycoon MAKAVELI Jr.
Nadhan alijua balaa analokutana nalo si mchezo kwa aliyoyafanya..Why alijiua sasa
Madame S
Jifunze na weweInteresting
Madame S
Mie poa tu sheikh, vip shemeji!?Nzuri kabisa jirani, za wewe
Ni fulu tu chali anguMambo yako bye, niaje lakini jirani
Hahaaaaa....inabidi mtu usiandike sanaa aiseeNoma aisee
Kumi kubwa inahitaji mtu kujitoa ndio nafikiri umejua kwamba kumbe Bitoz huwa anakaza
Ukizubaa masaa 3 yanakatika mtu hujamaliza
![]()
![]()
![]()
.......
NoumaaaWatu wana hatari
Madame S
Shukrani ndugu yangu..Namba 1.
Gary McKinnon
Huyu jamaa ndio alikuwa Top, sasa hivi ana umri wa miaka 51.
Ni raia wa scotland. Huyu Gary alikuwa ni mtaalamu wa Computer .
Gary aliweza kushambulia na kudukua Computer za jeshi la marekani na NASA ( National Space Agency) akiwa nyumbani kwa shangazi wa mchumba wake.
Gary aliweka virus na kufuta mafaili kwenye computer za NaSA 97.
Gary alikiwa anaingilia computer za jeshi la marekani kwa kufuta mafaili kwenye computer 2000 ndani ya masaa 24.
Alipakua na kunakili password na email za maafisa wa jeshi la marekani na Nasa.
Mbaya zaidi akaamua kuingia kwenye website ya NASA na kuandika ""Your security is a Crap" akimaanisha "Usalama wa Computer zenu ni Uchafu"
Gary alifuta na kufunga computer 300 za kuongozea baadhi ya mitambo ya kutengeneza Silaha nchini marekani , lakini pia Garry aliiba mafaili ya UFO's ambayo hadi leo yanabaki siri kwa jeshi la marekani.
Gary ndie aliefanya udukuzi mkubwa kuliko udukuzi wowote uliowahi kutokea ktk computer za majeshi.
![]()
![]()
Kwa leo Naishia hapa.
Nawatakia Usiku mnono.
Transcend.
Aliamini kuwa vyombo vya sheria havifamyi haki...Why alijiua sasa
Madame S
Asante kwa kumi kubwaNamba 1.

Tena uanze kutafsiri..Ila utatemeka balaa
Kumbuka sio kila mtu anajua kuandika ila kukopi kila mtu amaweza
![]()
![]()
![]()
.....

Ahsante mdauNamba 1.
Gary McKinnon
Huyu jamaa ndio alikuwa Top, sasa hivi ana umri wa miaka 51.
Ni raia wa scotland. Huyu Gary alikuwa ni mtaalamu wa Computer .
Gary aliweza kushambulia na kudukua Computer za jeshi la marekani na NASA ( National Space Agency) akiwa nyumbani kwa shangazi wa mchumba wake.
Gary aliweka virus na kufuta mafaili kwenye computer za NaSA 97.
Gary alikiwa anaingilia computer za jeshi la marekani kwa kufuta mafaili kwenye computer 2000 ndani ya masaa 24.
Alipakua na kunakili password na email za maafisa wa jeshi la marekani na Nasa.
Mbaya zaidi akaamua kuingia kwenye website ya NASA na kuandika ""Your security is a Crap" akimaanisha "Usalama wa Computer zenu ni Uchafu"
Gary alifuta na kufunga computer 300 za kuongozea baadhi ya mitambo ya kutengeneza Silaha nchini marekani , lakini pia Garry aliiba mafaili ya UFO's ambayo hadi leo yanabaki siri kwa jeshi la marekani.
Gary ndie aliefanya udukuzi mkubwa kuliko udukuzi wowote uliowahi kutokea ktk computer za majeshi.
![]()
![]()
Kwa leo Naishia hapa.
Nawatakia Usiku mnono.
Transcend.
HahaaaaMadame S leo nikijikojolea utanifulia..
Yuko poa kabisaMie poa tu sheikh, vip shemeji!?
Tycoon MAKAVELI Jr.
NomaaaaaHahaaaaa....inabidi mtu usiandike sanaa aisee