Makapuku Forum

Makapuku Forum

7a4e3e5321c787d91ca00ad73b50787d.jpg
 
Nmependa ulivyojenga hoja,unaonekana unaelewa na unafahamu vizuri namna ya kujenga hoja....

Nikirudi kwenye hoja husika ni kwamba ni kweli kabisa mgongano wa mawazo unaleta elimu kwa wasikilizaji au wasomaji,lakini ukweli utaendelea kubaki vile vile tu siku zote na ukweli hauwezi kuathiriwa na mgongano wa mawazo au ujinga [kutokujua] wetu....

Kimsingi ukisema Ukimwi unasababisha vifo vingi nitakuelewa lakini siyo wote watakuelewa kama ninavyokuelewa mimi.Mimi nitaelewa Ukimwi ni upungufu wa kinga mwilini unaosababishwa na life style tu na unatibika lakini wengine wataelewa Ukimwi ni ugonjwa unaosababishwa na kirusi anayeitwa HIV na huwezi kupona....

Hizo ndizo tofauti kubwa na zina shida kubwa...

Wale wanaodai kwamba kuna kirusi anasababisha Ukimwi hawajawahi kuthibitisha hili zaidi ya kuwa na dhana mbali mbali kuhusu suala hilo na hili ni tatizo kubwa sana.Zaidi sana hakuna binadamu aliyeahi kumuona HIV achilia mbali uwezekano wa yeye kusababisha chochote kwenye mwili wa binadamu....

Sasa basi,ni kwanini watu tena wanasayansi waendelee kuishi kwenye dhana hii?

Hapo ukijiuliza na kufanikiwa kupata jibu utaelewa mambo mengi sana hapa duniani....
Asante mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom