Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
We acha tu shem, nilikuwa njianiHivi ulikua wapi lakini
We acha tu shem, nilikuwa njianiHivi ulikua wapi lakini
Mwambie baba D akupige pige mgongoni usikohoe sanakho kho kho
KaribuTUPATE DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO kwa udhamini mnono wa shemela wangu shunie
Morning to you shululu wa TumosaMorning all kapuku
TRA hawapo nyuma
Naiona kauli hapo chini
Shukrani mkuuView attachment 549715Sina la ziada kutoka magazetini Nawatakieni wote siku njema
AmenNi faida gani basi mliyopata siku zile kwa mambo hayo mnayoyataharikia sasa? Kwa maana mwisho wa mambo hayo ni mauti
Lakini sasa mkiisha kuwekwa huru na kuwa mbali na dhambi na kufanywa watumwa wa Mungu mnayo faida yenu ndiyo kutakaswa na mwisho wake ni uzima wa milele
Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti bali karama ya Mungu ni uzima wa milele katika Kristo Yesu Bwana wetu![]()
WARUMI 6:21:23
Muwe na asubuhi iliyo njema mbarikiwe sana![]()
WaaaaaaaooooohHello family
Hello my Shunie....
Missing you a lot....
See you guys around!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah, am back...Waaaaaaaoooooh
Finally ua back
Uliendaa wap kwanzaa.....Yeah, am back...
Hope you are okay
Umeamkaje my booAwwww thanks boo![]()
![]()
![]()
Salama kabisa mkuuHabari za asaubuhi mabibi na mabwana
....
Uhali gani kijanaHabari za asubuhi wapendwaaa
Hope Mungu amewaamsha salama..
Karibu katibuBaada ya mapicha ya Bitoz UF inafataa
Nilikuwa huku dunianiUliendaa wap kwanzaa.....
Sihitaji kufungiwa nilishajifunga tayariSawa Shem lake inabidi nifanye utaratibu wa kumfungia na Nyagei hapa![]()
Acha uchochezi shemnyagei anazurula sana hivi utaweza kumfungia