Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Naona umemalizaInategema ni kinga ya kitu gani unaitumia,kama unatumia kinga ili usimpe ujauzito ambao hujapanga na mpenzi/mkeo/mumeo hii ni sawa.Lakini kuvaa kinga ili ujikinge na kisichokuwepo ni tatizo....
Ukimuacha "mwenzio" na hamu kuna hatari moja au mbili...
1;Atakupiga chini
2;Atatoa utam kwa wengine
Nje ya hapo hakuna hatari yoyote ile....

