Leokatika Historia
2007 - Pratibha Patil anaapishwa kuwa Waziri Mkuu wa kwanza mwanamke nchini India.
Leo katika Historia
2010 - Wikileaks inatoa taarifa za siri hadharani kuhusu Marekani kuivamia vita ya Iraq. Moja kati ya siri muhimu kuwahi kuvujishwa nchini Marekani.
Leo katika Historia
1985 - Hugo Rodallega anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Wigan, Fulham na Timu ya taifa ya Colombia.
Leo katika Historia
1987 - Fernando anazaliwa.
Ni kiungo wa kukaba toka klabu ya Man city na timu ya taifa ya Brazil.
Leo katika Historia
1988 - Paulinho anazaliwa.Ni mchezaji wa mpira wa miguu toka nchini Brazil.
Aliwahi kucheza Tottenham ya Uingereza.
Leo katika Historia
1986 - Hulk anazaliwa.
Ni mchezaji wa mpira toka nchini Brazil.Anasifika kwa umbo kubwa na nguvu inayomfanya awe na uwezo wa kupiga sana Mashuti.
Mimi na anko wangu sasa hivi tunachofanya sio kupigana. Hatupigani tena, ni kukuroga tu na ninaona kabisa unanipa vishawishi vya kukuroga.
Husna aachwe apumzike na mimi
HBDLeo katika Historia
1978 - Louise Brown anazaliwa. Ni mtoto wa kwanza kuzaliwa kwenye Test tube.
HBD RodallegaLeo katika Historia
1985 - Hugo Rodallega anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Wigan, Fulham na Timu ya taifa ya Colombia.
HBD FernandoLeo katika Historia
1987 - Fernando anazaliwa.
Ni kiungo wa kukaba toka klabu ya Man city na timu ya taifa ya Brazil.
HBD PaulinhoLeo katika Historia
1988 - Paulinho anazaliwa.Ni mchezaji wa mpira wa miguu toka nchini Brazil.
Aliwahi kucheza Tottenham ya Uingereza.
Leo wachezaji wa kibrazili wameongoza waoLeo katika Historia
1986 - Hulk anazaliwa.
Ni mchezaji wa mpira toka nchini Brazil.Anasifika kwa umbo kubwa na nguvu inayomfanya awe na uwezo wa kupiga sana Mashuti.
Shukrani mkuu JJNiite Jimena Jimenes na mpaka hapo basi nakuwa sina la ziada kutoka katika meza ya historia..... Muwe na siku njema na furaha tele. Kwa udhamini mnono kabisa wa kauli za mkuu
Adios Amigo
Haikuwa alfajiri, ni usiku tulivu ulikuwaKwahiyo shem umekuja alfajiri