Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,605
Usiwe na wasi laazizi nipo around kuhakikisha uko safeBora uniitie aisee sijui anadhurura wapi huyu mwanaume[emoji30]
Usiwe na wasi laazizi nipo around kuhakikisha uko safeBora uniitie aisee sijui anadhurura wapi huyu mwanaume[emoji30]
Siwezi nini?Nyageiii haweziiii
Shem nimekuonaMpendwaaa nimekuonaaaaa
Mama nimeleta pua yangu [emoji103]Itabidi nifanye utaratibu wa kumfungia maana kama sahizi mwanamke niko nyumbani yeye hata haonekani pua[emoji23] [emoji23]
Wote walimkimbiaWewe wako ni nani
Baadae nitakununulia urojoBro yupo bize na harakati za maisha ila soon anarudii
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Nitaongea na Max amfungie hapa asipate ruhusa ya kuzurura
[emoji15] [emoji15]Yuko kwa binti Neema
Hujala hasara bali umeokota almasi mlangoniDuh nimekula hasara wallah[emoji30]
[emoji7] [emoji7] [emoji7]Ngoja nimjengee banda kabisa
Kwani napatikana wapi shem wane? [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] apatikane kapuku tu
Namuona tuBaba D umeanza ujue
Hongera kwa 248kAnakudangaaanyaaaaaaa
Anakudanganya huyooooo[emoji445] [emoji445] [emoji442]
Nikajua umeenda kujitupa juu ya milima au majini ...makeeNilikuwa huku duniani
Usimsikilize huyo[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kabisaa maana anazurura kama kuku aliyekosa banda
[emoji173] [emoji173] [emoji173]Ukikutana na shemeji yako mwambie namtafuta[emoji57] [emoji57]
Chura nawaogopa sanaYaaaan akionaaa tu churaaa sijuii wewe haunaa ??
Nakuaminia shem wane huwezi kuniangushaSi kweli cuzooo nyagei hana hizo mambo
Ndio maana nikakwama kwakoNina mkia wa kondoo shem[emoji38] [emoji38]