Woiiiiiii===HAHAHAHA KUMBE BADO KUNA WATU WANADILI NA HII KITU!!! HUKU BONGO WATU WANAANGALIA MKIA TU WANABEBA WANAWEKA NDANI WAKUNWE VITOVU
===SWAZILAND: Mwanaume mmoja ametaka arudishiwe mahali ya Ng'ombe 24 baada ya kugundua mke aliyemuoa si bikira kama alivyohakikishiwa wakati akifanya taratibu za ndoa.
=== Mwanamke huyo Ruth Thembisile Sibiya amesema kuwa hata yeye hakumkuta mume wake bikira kwakuwa tayari alikuwa na watoto wawili.
===HAKIKISHA NA WEWE MSAFI KABLA HUJAONA UCHAFU WA MWENZIO
Vizuri kama uko na uzimaKwa nini tena jamanii....
Tunasemaga HV Kids love MMU n JLWNamimi nimesubscribe tangu zamani
Lile jukwaa ni zuri kwa watu makini na wanaopenda kupanua upeo wao
.....
Hata mi nashangaa kwa kweli!!Hivi wanajigawaje kwa wanawake wote hao jaman [emoji134]
Oookay santee![]()
Nenda jukwaa husika halafu juu hapo kwenye kitufe weka[emoji818]
.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] akili kumkichwaa+ mbumbumbu wapo bize kupeana & kusaka likes
Wajanja wapo bize kjazana maarifa
It's your choice
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
Jiwe gizanii..Kumbukeni hata huko baharini samaki maarufu (Starfish hawana ubongo hivyo msishangae
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
........