Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nmependa ulivyojenga hoja,unaonekana unaelewa na unafahamu vizuri namna ya kujenga hoja....

Nikirudi kwenye hoja husika ni kwamba ni kweli kabisa mgongano wa mawazo unaleta elimu kwa wasikilizaji au wasomaji,lakini ukweli utaendelea kubaki vile vile tu siku zote na ukweli hauwezi kuathiriwa na mgongano wa mawazo au ujinga [kutokujua] wetu....

Kimsingi ukisema Ukimwi unasababisha vifo vingi nitakuelewa lakini siyo wote watakuelewa kama ninavyokuelewa mimi.Mimi nitaelewa Ukimwi ni upungufu wa kinga mwilini unaosababishwa na life style tu na unatibika lakini wengine wataelewa Ukimwi ni ugonjwa unaosababishwa na kirusi anayeitwa HIV na huwezi kupona....

Hizo ndizo tofauti kubwa na zina shida kubwa...

Wale wanaodai kwamba kuna kirusi anasababisha Ukimwi hawajawahi kuthibitisha hili zaidi ya kuwa na dhana mbali mbali kuhusu suala hilo na hili ni tatizo kubwa sana.Zaidi sana hakuna binadamu aliyeahi kumuona HIV achilia mbali uwezekano wa yeye kusababisha chochote kwenye mwili wa binadamu....

Sasa basi,ni kwanini watu tena wanasayansi waendelee kuishi kwenye dhana hii?

Hapo ukijiuliza na kufanikiwa kupata jibu utaelewa mambo mengi sana hapa duniani....
Upo sahihi mdau
Hata maelezo yako haya mafupi tu mtu atakuelewa
Tena kule jukwaa la Intelejensia huwa sikosi kusoma thread zako
Bahati mbaya kwa hapa Makapuku watu wa kariba yako wapo wachache
.......
 
DID YOU KNOW ?
About your brain...
6d7e174714e5ba5c6a65b3fbe8b08be9.jpg
 
===HAHAHAHA KUMBE BADO KUNA WATU WANADILI NA HII KITU!!! HUKU BONGO WATU WANAANGALIA MKIA TU WANABEBA WANAWEKA NDANI WAKUNWE VITOVU

===SWAZILAND: Mwanaume mmoja ametaka arudishiwe mahali ya Ng'ombe 24 baada ya kugundua mke aliyemuoa si bikira kama alivyohakikishiwa wakati akifanya taratibu za ndoa.

=== Mwanamke huyo Ruth Thembisile Sibiya amesema kuwa hata yeye hakumkuta mume wake bikira kwakuwa tayari alikuwa na watoto wawili.

===HAKIKISHA NA WEWE MSAFI KABLA HUJAONA UCHAFU WA MWENZIO
 
Dagaa zina madini ya chuma, afu ukizitia na nyanyachungu basi joto lile la kupendeza kuingiliana maungoni sio kama wanamieleka. wanaingiliana maungoni wamevaa chupi halafu ukiuliza eti wanagombea mkanda?

wanagombea mkanda huku wamevaa chupi!!

Endelea kula dagaa mpenzi wangu
Umesahau binamu dagaa na pembeni ugali nakipenda hiko chakula
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom