Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,605
NaonaAsante kwa picha Bitoz. Leo katika Historia imekuwa kama ya wachezaji siku ya leo....
NaonaAsante kwa picha Bitoz. Leo katika Historia imekuwa kama ya wachezaji siku ya leo....
Shukrani mkuu![]()
Kibonge huyu ana kipaji ila ni bingwa wa kutumia![]()
Asingekuwa mwingereza angeshauzwa
.
.
.
Tukutane baadaye wadau
Niwatakie mchana mwema
........
Yap yapBaba watatu [emoji10][emoji10][emoji10]
Shem binamu yako yuko wapiNipo na Manga [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kwenye ule uzi naona umetukimbia kaniambia anaumwa sijui nini nimemuuliza hajarudi
Nilimooo chaneHusna ulimo wa mukobwa!
ndagukumbuye chane chambu wanje..
Sawa sawa[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109]
UUmbeya Punguza we mtoto.... Obe naona kazi inakushinda .....mtemeshe mate huyu... Haraka sana.Hehe heheeeeee.....wouuuuiiiii
Babu anatongozaaaaaa
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Iwe hu mshambaa.... Uzaituka mnyika.Haya. Ila mi nasikia tu kujibu siwezi aisee
Wewe mtoto unatakiwa uheshimu wazee wako [emoji2]Naandika majina ya wapiga kelele
Utakuwa salama ukiwa salama ukiwa muoga wa hela za watu...... Lakini babu yako pia ukiogopa pesa zake.. Huo uoga utakuwa umepitiliza.Mie muoga na hela za watu
Si nimezeeka jamani..... Halafu wewe utani mwingi... Nikiwa kaka yako utanivunjia heshima..... Lakini nikiwa babu yako aaaaa... Unakuwa huru kusema upendalo... Mjukuu na babu yake.Huu ubabu vipiii lakini kutoka kaka mpaka sasa unataka nikuite babu jaman
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha.... Eka tiweeImi sikunda na imi nna Yesu ngevishinde vyoshe
Eka basi njikomeUghuane na ndai imi eka du sikunda mghoshi wa aina yeyoshe
HahahaNajua ila unakufa na tai shingoni [emoji3]
Lakini haileweshi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Dada acha tu ya leo kali
Kweli???Me naelewa ujue
Poa mdogo wanguSawa dada
Asante mamy[emoji524] WAGALATIA 5
22.Lakini tunda la Roho ni Upendo,Furaha,Amani,Uvumilivu,Utu wema,Fadhili,Uaminifu.
23.Upole ,Kiasi;juu ya mambo kama haya hakuna sheria
[emoji523] BABA Asante kutufukisha mchana huu salama ,tunakushukuru kwa kuwa wewe ni mwema hujawahi kutuacha ,msaada wako uko nasi kila iitwapo leo.
Asante kwaneno lako ambalo ni chakula cha roho mchana wa leo.
Tunaomba nyoosha mkono wako uwe nasi siku nzima.
Bariki kila mmoja apate riziki sawa na mapenzi yako.
Tutulize hofu na mashaka yoyote tuliyo nayo ,endelea kutupigania.
Tuimarishe tuliishi tunda la ROHO.
Katika jina la YESU...Amen.
MCHANA MWEMA WAPENDWA[emoji7] [emoji7] [emoji7]
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Nawamis sanasana tupo pamoja Mungu awabariki...Love you ,God Loves you[emoji7] [emoji7]Asante mamy
Nimekumiss ujue