Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Asante mama yetu mpendwaLee asante sana kwa Hadithi...inanipa kila aina ya jibu..natamani kuisoma hadi mwisho.
Asante kwa UF,BBC
UBARIKIWE
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Asante mama yetu mpendwaLee asante sana kwa Hadithi...inanipa kila aina ya jibu..natamani kuisoma hadi mwisho.
Asante kwa UF,BBC
UBARIKIWE
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
🙂 🙂 🙂 🙂Wenyewe wa mikoani wanadai hawali chips. Zinazopatikana kule ni kwaajili ya wageni kutoka DAR
Morning Love..umeamkaje leo kipenzi?🙂 🙂 🙂 🙂
Morning my cookie
Namshukuru Mungu nimeamka poa ...hofu ni kwako tu si unajua vile jana ulivokuwa umechokaaMorning Love..umeamkaje leo kipenzi?
Demi my crush hujambo..Morning Love..umeamkaje leo kipenzi?
Mdau ni aje?Namshukuru Mungu nimeamka poa ...hofu ni kwako tu si unajua vile jana ulivokuwa umechokaa
Mi mzima kabisa na demi yupo fitiiiDemi my crush hujambo..
Mdau ni aje?
MorningMorning wakuu..
ThanksNUKUU YA LEO
A friend is someone who gives you total freedom to be yourself
Rafiki ni mtu ambaye anakupa uhuru kamili wa kuishi kama wewe
Haya maneno yaliwakusemwa na mwanamshairi wa kimarekani James Douglas ama jim morrison .
Jim morrison alizaliwa Dec. 8 1943 na kufariki July 3 1943.
Jim morrison alifariki nchini ufaransa kwa kile kinachosemekana kuwa ni Shambulio la Moyo.
Jim alikutwa akiwa amefariki bafuni kwake.
Be a friend! Live your life! Enjoy the short moment you have..
Life is too short..!
![]()
![]()
Asante kwa neno mama mchungajiYOSHUA 1
8.Kitabu hiki cha torati kisiondoke kinywani mwako,bali yatafakari maneno yake mchana na usiku,upate kuangalia na kutenda sawasawa na maneno yote yaliyoandikwa humo;maana ndipo utakapoifanikisha njia yako,kisha ndipo utakapositawi sana
9.Je,si mimi niliyekuamuru?uwe hodari na moyo wa ushujaa,usiogope wala usifadhaike,kwa kuwa BWANA yu pamoja nawe kila uendako
BABA katika jina Takatifu la Yesu ,asante kutuamsha salama,tunaomba rehema yako tusamehe makosa yetu kama tunavyowasamehe waliotukosea,utuepushe na majaribu tulinde,tuongoze tuweze kutenda mema siku ya leo na siku zote za maisha yetu,katika hii safari ya maisha yapo mengi tunayoyapitia BABA wewe unamajibu ya kila changamoto,tusaidie tuhesabu baraka zote ulizotujalia na kutusaidia kuwa na tumaini kwako tu kwamba hata changamoto ni sehemu ya baraka maana zinazidi kutusogeza karibu na wewe.
Tusaidie kulisoma na kuliishi neno lako takatifu liwe taa ya miguu yetu popote tuingozwe na neno lako.
Walinde watoto wetu walioko mashuleni na majumbani,waimarishe katika mausha ya kiroho wawe na hofu ya MUNGU ,waepushe na vishawishi,wape hekima na busara katika kuchagua marafiki ...
Baba Bariki kazi za mikono yetu zikapate kibali mbele zako na daima ziwe kazi za kukutukuza wewe.
Bariki vipato vyetu viweze kuwa vya manufaa katika maisha yetu na kila tupatacho katika kazi zetu kiwe na manufaa kwetu na kujenga mwili wa Kristo,pesa na mali tunazopata zionekane tuweze kufaidi mapato ya kazi za mikono yetu.
Asante BABA Maana utafanya sawa na mapenzi yako
Tunaomba katika jina la Yesu Amen.
NAWATAKIA SIKU NJEMA MUNGU AWABARIKI![]()
![]()
![]()
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
KaribuTumshukuru Mungu kwa mema anayotutendea .....
Soon vile vitu vitatu vya mapema kapuku mwanafamilia vinakujia
Mara moja mkuu..Thanks
Yupo fit kivipi yaani?Mi mzima kabisa na demi yupo fitiii
Asante kwa hadithi, UF na BBC bila kusahau katuniKirat. ..![]()
MorningMorning wakuu..
Sijambo shem wangu mie..mambo yako?Demi my crush hujambo..
Mdau ni aje?
Nimeamka fit..no more uchovuNamshukuru Mungu nimeamka poa ...hofu ni kwako tu si unajua vile jana ulivokuwa umechokaa