Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Ewaaaaaaaah ....3/Doubledick Dude![]()
![]()
Jamaa alizaliwa na uume miwili na kuamua kujiita Doubledick Dude na kupata umaarufu mkubwa na furushi la followers kwenye mitandao ya kijamii
Sio tu kwamba anazo mbili bali pia zote zinapiga mzigo wa maana hivyo anaweza kuzitumia zote kwa pamoja demu ukizubaa shauri yako anatumbukiza mbili !!!
Kila mzigo wake ukichachamaa unafika inchi 7
Hali hii inajulikana kama Diphallia na dunia nzima kuna case takribani 100
......
Hii kitu kwa hali ya kawaida umaweza kuona sio jambo la kawaida kutokea lakini hii ndo biolojiaa mkuu/wakuu ...nakumbuka kwenye pita pita yangu nshagawahi kukutana na mtoto wa hali hii ....ni jambo la kawaidaa sana ila kibongo sio sana
Tumezoea kusikia DNA duplication lakin hii inaitwa Penile duplication wengine Diphillic terata .....
Kutokea kwa halii hii ni hasa pindi kijusi (mtoto akiwa tumboni) hasa katika ya siku 23 -25 maarufu kama gestation na endapo kwenye hivi vitu muhimu nazungumzia urethra , bladder ila muhimu ni kwenye kidney aka figo ikitokeaa tu blander bhasi imekula kwa mtoto ....hapa ndo tunaona uwezo wa kijusi cha kiume na kike ....ila nisiwachoshe
Watu wa aina hii wapo wa aina tatu ..
1.Wapo ambao sehemu zinakuwa separate na kila moja inajitegemeaa....zote active
2.wapo ambao moja inakuwa imejiegesha kwa.nyenzake ....hii kwenye study ndo nilishawahi kukutana nayo...
3.wa mwisho moja inakuwepo ila moja ndo active nyingine kama urembo

