Makapuku Forum

Makapuku Forum

7/Alfie Clamp
ed589af547f136e074ebf35e91f9f0ce.jpg
cc6d262ea128d23e5a63f718f33ec8a1.jpg
Karibia kila aliyesoma Biology japo Form Two anaelewa maana ya DNA
Huyu dogo alizaliwa mwaka 2010 akiwa na Extra strand DNA tuseme ana DNA zaidi ya pea mbili
Alizaliwa akiwa kipofu(mlemavu wa macho), pia Alikuwa na ulemavu mwingine kibao hivyo kuwalazimu Madaktari wamfanyie uchunguzi uliopitiliza
Mwisho wa siku wakambamba dogo ana DNA ya kushangaza ambayo haipatikani popote pale duniani (angalia picha)
Hayo ndo maajabu ya dogo Alfie
......
Ni kweli na nadra sana kumkuta mtu kuwa na DNA ya haina hii ila japo hii ni evidence tosha kuwa mutation inatokea na ikitokea kuna impacts kubwa kama hizo ...ila hii wataalamu wanaiterm kama advanced mutations. ..

Kiukweli binadamu wa kawaida huwa na DNA ambayo ni double strand ...na tunajua DNA ni kitu muhimu katika maisha ya binadamu. ..na ndo hii DNA inayozalisha RNA ambayo ni single strand ....hapa usije sema RNA inaweza kuwa na double strand ....haiweziiii

Zile base sugar zinazopair kutengeneza double strand ikitokea katika hali ambayo siyo ta kawaida mfano Hoogsteenn Base sugar ukipenda H ikabind na sugar base tulizozizoeaa ...mfano natumia herufi kidogo na nisiwachoshe ...T lazima ikutane na C ...ikitokea kamailivotokea kwa dogo H ikajipendekeza na mechanism ikakubar bhasi H*DNA tunaipata ambayo ni triple strand. ..

Asante mdau
 
Ahsante mtaalamu wetu kwa nyongeza short & clear
Mi binafsi nimekuelewa
........
 
Mdau tunakumbushana na kuelimishana na hapa kila mtu mtaalam tuelimishane...
Ndo hivyo binadamu tunategemeana
Daktari anamtegemea mkulima/bwana shamba alitaka kulima
Mwanasheria anamtegemea mchumi akitaka kujihusisha na mambo sijui ya hisa
Yaani kila ntu anamwyaji mwenzako
Hakuna anayejua everything jwenye ishu za kitaaluma ...mtu anaweza kubobea kwenye fani zaidi ya moja lakini siyo zote
.......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom