Makapuku Forum

Makapuku Forum

Omeprazole ni kwa ajili ya
maintanace kama ana vidonda watacheck hpylori kama positive watampa kit ya mwezi..na magnesium ya maji,na baada ya hapo omeprazole kidonge kimoja kila sk,kama serious atachomwa pantocid,na kadrip angalau mbili na dawa ya maumivu atapumzishwa hosp ,baada ya hapo kama atapimwa ndio hiyo kit..ni lazima aende hospitali ili kupata tiba sahihi,na kuwa mwangalifu na chakula,kula kwa wakati na right food


...maandishi yako nami yamenifanya nijisikie kuumwa, uko wapi nije uniandikie dawa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom