Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Nahisi nna mahaba na avatar yakoHupendi tunavokita kambi au sio
Legalize marijuana
Nahisi nna mahaba na avatar yakoHupendi tunavokita kambi au sio
Nimekumiss wewe !Hahaha
Inawezekana ujue... Tatizo mie kiherehere bhana
Hahahahahahaha unakosaje kuwepo sasa kwa mfano??Mimi sipo kwenye hiyo vita lakini?
Hivi karibuni ilifanya utambulisho mahali hapa DSM,Masharti yao ilikua ulipee pesa,watakupa mashine unayohitaji kwa shughuli zako na wanakufungulia akaunti unakua mbia,bado mchakato unaendelea nia yaobilikua kupata wateja9/Industrial and Commercial Bank of China Ltd![]()
![]()
![]()
Hii ni benki kubwa inayomilikiwa na Wachina achana na Exim Bank Wachina wameshajipanga kuitawala dunia kiuchumi na sasa wapo juu wakati Kwa bongo viwanda vipo magazetini tu wenzetu wana benki ya viwanda na biashara
Mapato yake hifikia USD 90 billion
Imeajiri watu 442,000
Pesa huna unamiliki akaunti benki ya nini? Utawekea matofali ?
.......
Ofa ni Kwa under 30 pekee
Wazee hawahitajiki
![]()
![]()
![]()
......
Ewaaaanaomba upate juice Jimena
Niko hapa nikusikilize jamani
Ubarikiwe mkuu MkushiAmen......jion njema kwako pia
Siti imejaa
Labda nikununulie biskuti tu utafune km punda
![]()
![]()
![]()
......
JamaniiiiIjumaa naleta ile samsung mama..iko ndani tayari..
Sio mioyo tuu..! Nahisi hadi blood vesselsAiseeee
Mioyo yetu huwa na kiu moja eeh
Usiondoke bhanaNaam utamu wangu..
No ni wa kitamboNew member?
New anakumis? TNew member?
YeahQuigley loves J J?
Hapa sibandukiAunt ake! Upo
Yaani nikikosa hapa huko mtaani ndio basi tenaBitoz mpe mama etu offer buana
Kuna ubaya kwani loveMimi sipo kwenye hiyo vita lakini?
Sio kukuita tuu..! Hadi kukueleza..Akikujibu niite bae
EwaaaaNimekumiss wewe !
Kila mtu anajua!