Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Nmekumic pia mke mweee pole na msiba wa IbraPoa shemela msalimie sana mke mwee nimewamiss mnooo
Nmekumic pia mke mweee pole na msiba wa IbraPoa shemela msalimie sana mke mwee nimewamiss mnooo
Karibu Emirates stadium
HaleluyaaAliyeturoga alizama na MV Spice Islander
![]()
![]()
![]()
....
Halafu watu wakambia aache kuaguaAisee pole sana husna halaf nakumbuka alivyoweka cheti ulimwambia hiyo ni pumu
Hope uko mzima kaka etuWakuu habari zenu habari za kupambana na maisha
Nimewamis sana
Leo nimekuja niwasalimu
Pole mumieLakini kuna karatasi pale ilionekana ya hosp kigamboni...ilionesha dalili za Cardiac...akaandikiwa apime ECG,ECho,na vidonda vya tumbo kigamboni vipimo hv hakuna sasa sijui alipima,na ni kweli dalili hz hufanana na pumu...mimi mwenyewe nina mwezi hv nilipata mild attach wakadhani ni cardiac..ambayo ni moyo ,nikapima vipimo hivyohivyo..namshukuru Mungu kuna dawa nilipewa..unabanwa kabisa....kichomi kikali kushoto..kupumua huwezi..niliwekewa nebulizer...wapi..then oxygen..ila Mungu mwema naendelea vizuri ukipata attach hz lazma upate huduma haraka...
Naona umerudi kaka karibu tenaDadake
Kwenye uzi wa IbraWapiii hukooo
Duh Mungu amrehemu jamaniNimepita wamepost jeneza wakati anasafirishwa jamaan ibra siwezi ongea duniani tunapita tusameheane jamaan
Pole SakayoHata sijui mie... Hii ni mara ya pili kuambiwa hivyo
Ndo maana cjipodoagi baba watotoMimi sipendi mwanamke anayejipodoa
Shemela vipiii tena jamaan
Nakuombea kaka ufanikiwe ungemtafuta kaka angu mzeewakungoa hukoHawawezi kuloweka nguo maana muda mwingi nilikuwa bize ila nimeona tanga kuna fursa nyingi sana ambazo kwangu naona zinaweza kututoa kimaisha
Hakuna raha sakayo ila kuna fursa tuTanga raha
Ahahhahah shemelaNasubiri jibu la shemeji
Am so much Blessed by having you in my life...God knows.....am Blessed![]()
![]()
![]()
