Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hii ya kupulizia ndio naiskia Leo mamii

Unapuliziaje?!
Zipo dawa za kupulizia..inhalers za kuzuia na kupulizia ukibanwa ,ni nzuri sana zinatumika kwa urahisi ,unatembea nazo tu kwenye pochi popote ulipo,hali ikizidi unaenda hospitali lakini ukifuatilia ukweli huhangaiki...ni Asthalin inhaler na Budecort inhaler100 ,pia kuna vidonge unameza kimoja kila usiku kuzuia kubanwa...ni msaada mkubwa..ila ni muhimu kumuona daktari kwanza...kama uko dar niko tayari kukupeleka ...ni muhimu sana ,utakuwa na amani ...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom