Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
HahahaHakuna raha sakayo ila kuna fursa tu
Mie nataka kutoka hukoo
HahahaHakuna raha sakayo ila kuna fursa tu
Kweli kabisa ishindwe na icpate nafacEti presha jamani ila ishindwe tuu...
Asante Tumoo wa S
Sio ngumu ila watu wa tanga ni watu ambao wengi wana tabia za kiarabu kama ilivyo mikoa yote wanayo ita pwani uvivu mwingiTanga ni ngumu sana mkuu
Hakika najivunia kuwa na weweNdo maana cjipodoagi baba watoto
HeeNakuombea kaka ufanikiwe ungemtafuta kaka angu mzeewakungoa huko
Asante mamyPole Sakayo
Nakaa kibahaKibaha ndo kwao?
Ni kweli![]()
![]()
![]()
nimecheka sana hapo kwenye chizi haponi hutuliza mzuka
Wenger music
Asante niko sawa sasa na dawa zinanisaidia sanaPole mumie
Nimeshangaa shemeji kutoka Tanga salamaMbona kama unashangaa shemeji
Nimepata dokta naona ananisaidiaPole mumie
Haya shemela wa mimiHapana kkoo kuna kitu kinanipeleka sio line shemela
AmeeenKweli kabisa ishindwe na icpate nafac
Nipo njiani narudi nyumbani my swiNambie mume wngu
Nimeona shemejiTayari shemeji nimejibu
Sasa hivi nipo hapa mbezi mwisho kwenye foleniShemeji Leo sema ukweli upo sehemu gani mi niko hapa kibamba
NashukuruAsante mke mwee pole na wewe ni pigo kwetu aisee
Kweli kabisa shemelaAhahhahhah