Makapuku Forum

Makapuku Forum

Pale kuna bandiko limeniumiza sana ...alikua anayaona mauti,amesema kuhusu watoto,wazazi,mtarajiwa....kwa uchungu..alikata tamaa kabisa,sijui aliona nini ni vigumu kutafsiri kuna mtu ametoa facebook kaweka pale,nimelia sana[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] wanadamu ni mavumbi
Kweli kabisa mama,baada ya kutoka kwenye uzi ule nmepoteza amani kabisa,kikubwa tumuombee apumzike kwa amani tuwasafiri duniani
 
Back
Top Bottom