Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,077
- 464,004
Ahahhaa ngoja siku ukutane na kipili piliKama nakuonaaa
Ahahhaa ngoja siku ukutane na kipili piliKama nakuonaaa
Dada mi sijambo kabisa ila nilikuwa huko kwenu tanga nimejifunza vitu vingi sanaShikamoo kaka jamaan nimemiss kitololi chako![]()
Mungu akutunze mamyLakini kuna karatasi pale ilionekana ya hosp kigamboni...ilionesha dalili za Cardiac...akaandikiwa apime ECG,ECho,na vidonda vya tumbo kigamboni vipimo hv hakuna sasa sijui alipima,na ni kweli dalili hz hufanana na pumu...mimi mwenyewe nina mwezi hv nilipata mild attach wakadhani ni cardiac..ambayo ni moyo ,nikapima vipimo hivyohivyo..namshukuru Mungu kuna dawa nilipewa..unabanwa kabisa....kichomi kikali kushoto..kupumua huwezi..niliwekewa nebulizer...wapi..then oxygen..ila Mungu mwema naendelea vizuri ukipata attach hz lazma upate huduma haraka...
Nipe matokeoGoooooooo
Hatimae kichwa chawa cha Tanzania
Nipo hapa dada nimekuja rasmi jikwaaniKaka akee mie
Acha dada kioo hakidanganyi ujue halaf ukiwa podo podoaUmeonaee
So sadAlikuwa anapost hadithi kule entertainment sasa hapa akasema anaumwa kifua kinabana anashindwa kupumua vizuri mi nikamwambia kwamba labda itakuwa pumu
Lakini kuna mmoja akanambia kuwa nisifanye mchezo na afya za watu ikabidi ninyamaze
Basi nikazungukia ule uziii kila siku sasa nimeingia ndio nakutana na hizo habari kuwa ibrahim kashatuacha
Kuna jamaa anasema alimpigia simu akamwambia amegundulika ana pumu akapanga kesho yake akamuone sasa ile kesho ilipofika akampigia simu ibra ikapokelewa na mdogo wake ndo akamwambia kwamba mwenye simu kafariki
NimemuonaAmekuja
Mama tenaKuhusu Mama ujue
Nisamehe Baba d lakini nashindwa

Kaka BitozMakapuku wenzangu
![]()
![]()
.....
DadakeOohoooo
Wapiii hukooo![]()
![]()
nmepita kule nmeona bandiko ila siamini na naogopa kurudi kuangalia tena
ThubutuMara moja kwa mwaka sio mbaya
Nimepita wamepost jeneza wakati anasafirishwa jamaan ibra siwezi ongea duniani tunapita tusameheane jamaan![]()
![]()
nmepita kule nmeona bandiko ila siamini na naogopa kurudi kuangalia tena
Karibu kaka,pole na majukumu naamini BWANA anakushindia yoteWakuu habari zenu habari za kupambana na maisha
Nimewamis sana
Leo nimekuja niwasalimu
Hata sijui mie... Hii ni mara ya pili kuambiwa hivyoIla dada presha nawaza tu apa imetokea wapi lakini
Asante shemeji nimekaribiaKaribu shemeji, hapa tupo
Ahahhahah narudisha halotel dada week inayokuja si unajua ule mtandao hausumbui tigo watasababisha tuachikeKabisaa yaaani.. Sema wewe sasa unapotea hewani, nahisi utakuta na tanga limeisha