BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Pale kuna bandiko limeniumiza sana ...alikua anayaona mauti,amesema kuhusu watoto,wazazi,mtarajiwa....kwa uchungu..alikata tamaa kabisa,sijui aliona nini ni vigumu kutafsiri kuna mtu ametoa facebook kaweka pale,nimelia sana[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] wanadamu ni mavumbiMungu saidia icwe kweli,nlivoona bandiko lile roho imenuima nmekosa raha kwa kweli