Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,013
Umenichekesha tu eti taarifa zangu ataleta shunii au TKwa nini tena jamani
Umenichekesha tu eti taarifa zangu ataleta shunii au TKwa nini tena jamani
Binamu ukuje jamaan na nyimbo ya i love you
Wana dawa nyingi sana dadaInaitwaje
Nipo mimi jamaanAmekuja
Niliona pale masikini na ibra alikuwa hajaingia jfNdio
But kuna MTU aliniambia hv" husna usifanye mchezo na afya za watu"
Basi ikabidi ninyamaze but nia yangu ilikuwa nimuelekeze vile vya kuepuka coz mi ninayo mda tu nimeizoea now
Lakini kuna karatasi pale ilionekana ya hosp kigamboni...ilionesha dalili za Cardiac...akaandikiwa apime ECG,ECho,na vidonda vya tumbo kigamboni vipimo hv hakuna sasa sijui alipima,na ni kweli dalili hz hufanana na pumu...mimi mwenyewe nina mwezi hv nilipata mild attach wakadhani ni cardiac..ambayo ni moyo ,nikapima vipimo hivyohivyo..namshukuru Mungu kuna dawa nilipewa..unabanwa kabisa....kichomi kikali kushoto..kupumua huwezi..niliwekewa nebulizer...wapi..then oxygen..ila Mungu mwema naendelea vizuri ukipata attach hz lazma upate huduma haraka...Ndio
But kuna MTU aliniambia hv" husna usifanye mchezo na afya za watu"
Basi ikabidi ninyamaze but nia yangu ilikuwa nimuelekeze vile vya kuepuka coz mi ninayo mda tu nimeizoea now
Aiseeeeh ...Nilikwambia asubuhi ninavyojisikia bado sijarudi kwenye hali yangu
Shikamoo kaka jamaan nimemiss kitololi chakoWakuu habari zenu habari za kupambana na maisha
Nimewamis sana
Leo nimekuja niwasalimu

Kaka akee mieDadake
Ahhahahha wazee wa kiingilio kinywaji halaf itakuwa huko tabata kwenu kwetu pazuriHakuna namna nyingine sasa
Pole Dada mungu ni mwema na atakuponya
ameen kakaTatizo ufeki mwingi mshikaji wanguKwa nini umewaza hivyo lakini mshkaji wangu
EheeKwa siku maalum tu halaf unajipodoaga wewe
Ahahahh na sie team natural jeTatizo ufeki mwingi mshikaji wangu

Nimekuona shemela wa mimiNimekuja shemela wangu
OohooooNiaje mazee hope mko poa,
Demi jibu hujanipa..
Ahahhah shemela umeanzaEhee