Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Ndoo maaana nakupendaMpigie kabisa baba angu au nikutumie voucher kabisa kama simu haina hela
Ndoo maaana nakupendaMpigie kabisa baba angu au nikutumie voucher kabisa kama simu haina hela
Naona unateleza tu baba angu
SijajuaaUtalala huko huko au unarudi
Halafu nimeshangaa sana kumbe hawa jamaa hata sisi tuna nafuu.... Wenzetu wamezidi sana jamani5/Uganda![]()
Mashabiki wa Thimbwa timu yenu siku na miaka ya karibuni imekuwa anafanya vibaya sababu mmejaza washirikina(Waganda) juzi tu mmemrudisha kikosini babu Okwi![]()
Asilimia kubwa ya Waganda wanaamini ushirikina
Huko nchini Uganda kuna kesi kibao zinazohusiana na ushirikina mfano mauaji ya vikongwe, mambo ya misukule na juzijuzi tumeona eti Ivan Semwaga akizikwa na maburungutu ya pesa eti kafara
........
Hata hawa pia 90% ni wakristu tena wakatoliki basi tu wanaamua kujitoa fahamu4/Colombia![]()
![]()
![]()
Wakati Wabrazil wanajulikana kwa kushika ukristo kiasi cha kumjengea sanamu Yesu Kristo ndugu zao akina Radamel Falcao na James Rodriguez wao wamejikita katika kuabudu uchawi na ushirikina zaidi
Nfano kituo cha FOX kiliripoti mwaka 2012 kuhusu mwanamke wa Kicolombia kuuawa kwasababu za kishirikina ...watu walimchoka maana Alikuwa akiwatokea wanakijiji usiku wa manane kichawi
Hivyo ili kuepuka mauzauza wakansaka na kummaliza
......
Basi leo lazima uote![]()
aiseee me nilivyo muoga hizi mambo nisikie tu kama hivi
Dooh! Nilisepaa ! Sikutaka zoea mimi..!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
alikukomesha lakini alikutisha tu itakuwa

Mkuu unatuachaje na sikukuu hii?? DjObeHapo ndo huwa nashangaa wakati mwingine, ila yote heri tu.
Hapo Africa Magharibi ni shida3/Ghana![]()
Waigeria ni maarufu kwa filamu zao za kichawi ila Waghana wao ni wachawi kweli![]()
Wengi mnakumbuka Andre Ayew alivyoumbuliwa na kamera kwenye michuano ya AFCON 2017 akinyunyizia juju uwanjani ....Aibu yao !!![]()
Jamaa wanaoaajua kutumia hadi witch fying gas wakati wabongo wa Sumbawanga wanatumia ungo
Kaa mbali na Waghana
........
Ndio ninachotaka kufanya labda hivi kiuno kitupu anashindwa kuniambia ujue kumbe anaenda nje kuhesabu huko shanga 700 kwa mdogo wake mama ashura
pole mke mweee binamu akupele tu
Nilikuwa nakamilisha mfungo kwa utulivu.... Ni Ada yangu... Niko full swing Sasa hvUmeadimikaaa bob
Kumbe hawa nao wamo?? Sikuwahi kuwafikiria2/DRC![]()
![]()
![]()
Ni moja kati ya nchi maskini zaidi barani Afrika....ushirikina wao ndio umaskini wao
Wakati wanahangaika kurogani Wazungu wanachota tu madini yao(ni miongoni mwa nchi 5 wazalishaji wakubwa wa almasi duniani)
Hawa jamaa sijui wana tatizo gani maana pia ni matapeli wakubwa Achilia mbali Wanigeria
Laana ya ushirikina inawatafuna
.........
Anashindaga wapi?Kiunoni bana huoni baba d ndio anaposhinda huko na binamu labda akiniletea hizo nikimvalia anaweza tulia
Kiunoni bana huoni baba d ndio anaposhinda huko na binamu labda akiniletea hizo nikimvalia anaweza tulia
Wakongo wangelikosa ningelisema top ten yako ni maghumashii![]()
![]()
![]()
![]()
Afu hivi hizo mavitu zinasaidia nini?Kiunoni bana huoni baba d ndio anaposhinda huko na binamu labda akiniletea hizo nikimvalia anaweza tulia
Mmh..Shanga anazipendaga binamu ndo ananisimuliagaa