shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Umepewa unahoza wa timu na timu unayopambana nayo ndiyo iliyokukuza, sasa je utakubari Tim yako ya zamani ifungwe?Sawa jamaan
Umepewa unahoza wa timu na timu unayopambana nayo ndiyo iliyokukuza, sasa je utakubari Tim yako ya zamani ifungwe?Sawa jamaan
Hapana nendeni na mdogo wake mama ashura ili mkapumzike kigamboni vizuri na hali ya hewa ya kule kutawafaaApo ndo unakoseaa ujue binamu anakutegemeaa
Mtihani mkubwa shemela tutajua mbele ya safariUmepewa unahoza wa timu na timu unayopambana nayo ndiyo iliyokukuza, sasa je utakubari Tim yako ya zamani ifungwe?
Manfongo ndooo naniiiiii??Sawa baba d ni shemeji yako naona mambo ya manfongo style baba angu
Hainaga ushemejiiiiManfongo ndooo naniiiiii??
Yetu machoHata sijui shemela nitakuwa nani wanipeleke tu jamaan
Alafu weweee binamu huyuuu ...Hapana nendeni na mdogo wake mama ashura ili mkapumzike kigamboni vizuri na hali ya hewa ya kule kutawafaa
Binamu amefanyaje tena Baba DAlafu weweee binamu huyuuu ...
4/Colombia![]()
![]()
![]()
Wakati Wabrazil wanajulikana kwa kushika ukristo kiasi cha kumjengea sanamu Yesu Kristo ndugu zao akina Radamel Falcao na James Rodriguez wao wamejikita katika kuabudu uchawi na ushirikina zaidi
Nfano kituo cha FOX kiliripoti mwaka 2012 kuhusu mwanamke wa Kicolombia kuuawa kwasababu za kishirikina ...watu walimchoka maana Alikuwa akiwatokea wanakijiji usiku wa manane kichawi
Hivyo ili kuepuka mauzauza wakansaka na kummaliza
......
aiseee me nilivyo muoga hizi mambo nisikie tu kama hiviWatazamaji tupoMtihani mkubwa shemela tutajua mbele ya safari
Mmmmm ata mm hayo siyajuiii ...uzuri tulifanya hivo kuwapisha binamu na mama ashura waongee kwa faraghaHainaga ushemejiiii
Baba D sema tu ukweli jamaan me si unanijua moyo wangu walaa najionea kawaida tuMmmmm ata mm hayo siyajuiii ...uzuri tulifanya hivo kuwapisha binamu na mama ashura waongee kwa faragha
Huyu mzee ana sura ya kazii4/Colombia![]()
![]()
![]()
Wakati Wabrazil wanajulikana kwa kushika ukristo kiasi cha kumjengea sanamu Yesu Kristo ndugu zao akina Radamel Falcao na James Rodriguez wao wamejikita katika kuabudu uchawi na ushirikina zaidi
Nfano kituo cha FOX kiliripoti mwaka 2012 kuhusu mwanamke wa Kicolombia kuuawa kwasababu za kishirikina ...watu walimchoka maana Alikuwa akiwatokea wanakijiji usiku wa manane kichawi
Hivyo ili kuepuka mauzauza wakansaka na kummaliza
......
Si mm aliniomba nimpishe amalizane na mama Ashura make alitaka awahi kwenda kwa subira muhudumu mpyaBinamu amefanyaje tena Baba D
Hawezi kubadili jibuBaba D sema tu ukweli jamaan me si unanijua moyo wangu walaa najionea kawaida tu
Binamu shahid mm sijafanya kituBaba D sema tu ukweli jamaan me si unanijua moyo wangu walaa najionea kawaida tu