Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
Tutakumiss sana madame s jamaan me kwakweli huna ulichonikoseaKwenye maisha hua tunafanya mengi sana, mabaya mazuri na mengineyo meeengi. Ikitokea umemkwaza mtu kua mwepesi kujishusha thats how inatakiwa kuwa, ukiona umekosewa then kua muwazi kwa aliekukosea ili usjbaki na jaka la moyo.
Naomba kuwaomba radhi kwa yeyote anaejua nimemkosea by any means anisamehe na alienikwaza kwa vyovyote nimesamehe kwa moyo mweupe
U guys u were more than friends kwangu ni kama family
Nawaaga i wont be here kwa muda usiojulikana kidogo
I love ya'all.
