Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Asante sana Toz1/Indonesia![]()
Nani nasema Waafrika pekee ndio wachawi?...tembea ujionea![]()
Huku nako usiku ni mwendo wa kuvua nguo na kuwanga
Rais wao keshasema hadharani kwamba anaamini katika ushirikina na kuwa Rais mchawi pekee duniani ....wewe na mimi kama hatuamini uchawi ni Imani/msimamo wetu
Waindonesia ni noma kiasi kwamba serikali unataka kuifanya practisi ng black magic iwecrimal offence
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
.........
Lakiniii weweBasi simpeleki kwa mama mchuchu
Dah..... Acha mchawi Jr apate jina kumbe tuko nafasi ya 99/Tanzania![]()
Ukitaka kujua Watanzania wengi wanaamini katika ushirikina kuliko kumwamini Mungu basi fuatilia thread za njemba fulani zinavyoshabikiwa na hadi kuitwa sijui member mwenye busara zaidi JF kisa tu anaandika zaidi ushirikina na Hivyo kawa maarufu na kuwateka watu![]()
Usijiulize kwanini mauaji ya albino hayakomi...sababu tu tumejikita kwenye ushirikina
Fulani watu wanaweka vipande vya mkaa eti kujikinga na chuma ulete...makanisani nako wachungaji feki wana nguvu za giza
Wanasiasa nao washirikina
Watanzania ni washirikina balaa ndiyo maana CCM haitoki madarakani
.......

Mimi ndioLakiniii wewe
1/Indonesia![]()
Nani nasema Waafrika pekee ndio wachawi?...tembea ujionea![]()
Huku nako usiku ni mwendo wa kuvua nguo na kuwanga
Rais wao keshasema hadharani kwamba anaamini katika ushirikina na kuwa Rais mchawi pekee duniani ....wewe na mimi kama hatuamini uchawi ni Imani/msimamo wetu
Waindonesia ni noma kiasi kwamba serikali unataka kuifanya practisi ng black magic iwecrimal offence
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
.........

Min al faidhinEid mubarak![]()
Kama hulielewi fahamu dhahiri kuwa litakuwa halikuhusu.Tafasiri au maana ya neno "Kapuku" ni ipi?
Tafuta msamiati au neno lingine kuwakilisha hili chama.
Nimeulizaa tu jamaniiiKidume changu kwenye ubora wako
Hii bendera itakuwa na maana yake sio bure8/Nepal
]Hii ndo nchi pekee duniani ambayo bendera yake siyo ya mstatili yaani siyo pembe nne labda imewekwa kichawi tu![]()
Waasia hawa nao ni balaa linapokuja suala la ushirikina...
Mfano mwaka 2012 ilivuma habari ya msukule wa kike na kutikisa dunia nzima yaani mwanamke aliyekufa na kuzikwa alipatikana akiwa msukule
Uchawi wao unavuma tangu karne ya 17
......
Hivi binamu kweliiNdio ninachotaka kufanya labda hivi kiuno kitupu anashindwa kuniambia ujue kumbe anaenda nje kuhesabu huko shanga 700 kwa mdogo wake mama ashura
Dah7/India![]()
![]()
![]()
Wahindi wamejaaliwa mvuto wa sura lakini mioyo yao imejaa ushirikina achilia mbali tabia yao ya uchafu uliopitiza
Mfano Oktoba 14 BBC iliripoti habari kuhusi binti mmoja kutoka Bemetara District kwamba alitolewa kafara ya mtoto wa kiume na ndugu zao wakiamini itamsaidia kupata ujauzito .....asiye na mwana abebe jiwe kuliko kwenda kwa sangoma
......
Tabata dampoKwahiyo utachelewa wapi
Ubishii wako umeanzaaAanze yeye kunipeleka kwanza
Mpigie kabisa baba angu au nikutumie voucher kabisa kama simu haina helaNimeulizaa tu jamaniii
Au ngoja na mm nimdiipuu
Kwani ni uongo baba dHivi binamu kwelii
Utalala huko huko au unarudiTabata dampo
Hapana aanze binamu kunipeleka kwanzaUbishii wako umeanzaa