Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
Kweli Baba D ujue
Kweli Baba D ujue
Aisee haaaaahaaaa, namwamini sana shemela wanguHa ahahhahahaha, hata mimi naamini kabisa wewe humuamini japokuwa uko neutral
Anza we kunipeleka kwa mama ashura halaf nakupeleka kwa bhUsikonde, nipeleke kwa BH nami nikupeleke kwa mama Ashura, quid pro quo
Asante baba watotoNiko poa kabisa my swi
Lakini Baba D si kweli huwa unatumia simu yangu jamanSawa lakin binamu usinichonganishee
Acha tu mtoto anakuwa na tumbo kubwa na ugonjwa wake sio wa hospital apelekwe kwa mtaalam anaponywa kwa fagio yale ya zamani au ndula ukimpeleka hospital anaweza kufa

Binamu apia
Kwahiyo ndio ukaamua uhakikishe kwa mdogo wake mama ashuraShanga anazipendaga binamu ndo ananisimuliagaa
Unakataa ofaBitoz naogopa mimi hata paka mweupe![]()
Hapana nendeni na mdogo wake mama ashura ili mkapumzike kigamboni vizuri na hali ya hewa ya kule kutawafaa

Kweli shemela
Baba D lazima nikafundishwe huko jinsi ya kuvaa labda utatulia
Ndio ninachotaka kufanya labda hivi kiuno kitupu anashindwa kuniambia ujue kumbe anaenda nje kuhesabu huko shanga 700 kwa mdogo wake mama ashuraIkiwezekana ukajifunze kabisa
Sijawahi kumsikia anasema mambo ya kanisaniiJaribu kumoa habari za kanisani kumpima
![]()
![]()
![]()
......
Nataka nijue binamu na me nimvalie baba d ujue labda hivyo cha kwangu kilivyo kitupu bila kitu ndio inasababisha atoke aje hukooo
Kwa nini tena shemelaUmeanza kumnyima raha baba D
Enzi hizooo!
Nilikuwaga na mdada wa kizigua bhana! Akaniambia nikimuacha ananinunulia zongo la buku...
Nilikiwa namuogopa balaaa!nikaona nitakufa kwa presha tuu

SanaaaaaaEid ilinoga kweli
