Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
AiseeNdio ninachotaka kufanya labda hivi kiuno kitupu anashindwa kuniambia ujue kumbe anaenda nje kuhesabu huko shanga 700 kwa mdogo wake mama ashura
AiseeNdio ninachotaka kufanya labda hivi kiuno kitupu anashindwa kuniambia ujue kumbe anaenda nje kuhesabu huko shanga 700 kwa mdogo wake mama ashura
Sawa madame...Kwenye maisha hua tunafanya mengi sana, mabaya mazuri na mengineyo meeengi. Ikitokea umemkwaza mtu kua mwepesi kujishusha thats how inatakiwa kuwa, ukiona umekosewa then kua muwazi kwa aliekukosea ili usjbaki na jaka la moyo.
Naomba kuwaomba radhi kwa yeyote anaejua nimemkosea by any means anisamehe na alienikwaza kwa vyovyote nimesamehe kwa moyo mweupe
U guys u were more than friends kwangu ni kama family
Nawaaga i wont be here kwa muda usiojulikana kidogo
I love ya'all.
Uchochezi huo Obe...unashangaa 700🙂, muulize shululu alikutana na mzigo yaai kafika 1500 akachoka kuhesabu
Kwenye maisha hua tunafanya mengi sana, mabaya mazuri na mengineyo meeengi. Ikitokea umemkwaza mtu kua mwepesi kujishusha thats how inatakiwa kuwa, ukiona umekosewa then kua muwazi kwa aliekukosea ili usjbaki na jaka la moyo.
Naomba kuwaomba radhi kwa yeyote anaejua nimemkosea by any means anisamehe na alienikwaza kwa vyovyote nimesamehe kwa moyo mweupe
U guys u were more than friends kwangu ni kama family
Nawaaga i wont be here kwa muda usiojulikana kidogo
I love ya'all.

Shikamoo yao huko Indonesia.1/Indonesia![]()
Nani nasema Waafrika pekee ndio wachawi?...tembea ujionea![]()
Huku nako usiku ni mwendo wa kuvua nguo na kuwanga
Rais wao keshasema hadharani kwamba anaamini katika ushirikina na kuwa Rais mchawi pekee duniani ....wewe na mimi kama hatuamini uchawi ni Imani/msimamo wetu
Waindonesia ni noma kiasi kwamba serikali unataka kuifanya practisi ng black magic iwecrimal offence
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
.........
Utanujulisha basi utakavyoamua kama haurudi ili nitokeSijajuaa
Jimena acha bwanaBasi leo lazima uote
Mbona unatoka baru bana..... Unajua tutakumiss sana.Kwenye maisha hua tunafanya mengi sana, mabaya mazuri na mengineyo meeengi. Ikitokea umemkwaza mtu kua mwepesi kujishusha thats how inatakiwa kuwa, ukiona umekosewa then kua muwazi kwa aliekukosea ili usjbaki na jaka la moyo.
Naomba kuwaomba radhi kwa yeyote anaejua nimemkosea by any means anisamehe na alienikwaza kwa vyovyote nimesamehe kwa moyo mweupe
U guys u were more than friends kwangu ni kama family
Nawaaga i wont be here kwa muda usiojulikana kidogo
I love ya'all.
hahahah na kweli kuna mazongo ya kununua hela yako tuDooh! Nilisepaa ! Sikutaka zoea mimi..!
Hashidwi kukubadili jinsia..![]()
NanMmh..
So what happens akishavaa?
Anipeleke tu kwakweli mke mwee![]()
![]()
pole mke mweee binamu akupele tu
Wacha woga T.Dooh! Nilisepaa ! Sikutaka zoea mimi..!
Hashidwi kukubadili jinsia..![]()
Shemela u hali gani,mbona adimu hvoEdd mubarak