Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,324
- 35,832
Lazima uende, mama mchungaji hatawaelewa kabisa
Yaani huyu lazima atangulie, hii ni safari ya msingi wa zege
Lazima uende, mama mchungaji hatawaelewa kabisa
Hahahaa![emoji134] [emoji134] aiseee me nilivyo muoga hizi mambo nisikie tu kama hivi
Hawa ndio wale wazee wanasushaga watu vishipa [emoji3][emoji3]Huyu mzee ana sura ya kazii
HakikaYaani huyu lazima atangulie, hii ni safari ya msingi wa zege
Mbona ukimwona mkongo akili inaakilikaa??
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Hapo ndo huwa nashangaa wakati mwingine, ila yote heri tu.
Kumbe ni hivyo basi nitakaa kimya baba d
Baba D sijakuelewa kabisa ujue lakini kikubwa upo mzima basi Mengine acha niendelee kumuomba Mungu akubadilisheSi mm aliniomba nimpishe amalizane na mama Ashura make alitaka awahi kwenda kwa subira muhudumu mpya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hawa ndio wale wazee wanasushaga watu vishipa [emoji3][emoji3]
Hahahh shemelaHawezi kubadili jibu
Sasa binamu kwani alikuwa anakuchungulia jamaanBinamu shahid mm sijafanya kitu
Siendi binamu mchukueni mdogo wake mama ashuraYaani huyu lazima atangulie, hii ni safari ya msingi wa zege
Khaaa kwahiyo hatutakiwi kuogopa jamaan nikienda tanga huwa naogopa zongo [emoji134]Hahahaa!
Watu wa Tanga mnaogopa uchawi tena? [emoji3]
Binamu ukiona vile simu anayo mjomba wakoHapo ndo huwa nashangaa wakati mwingine, ila yote heri tu.
Shemela wangu mnamtesa sana, mjue ana moyo...tena sio tu ukae kimya, unyamaze kabisa , au sio mjomba
Anatufelishaaa some timezHapo ndo huwa nashangaa wakati mwingine, ila yote heri tu.
Shemela wambebe mdogo wake mama ashuraHakika
Jiandae nikupitie tukateze kwa moromboNjoo tu