Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
Unamuonaa binamu wako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] binamuuu sitakiii
Unamuonaa binamu wako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] binamuuu sitakiii
[emoji134] [emoji134]Nmetuliaaa
Mimi nilijua mapema kuwa hawakuamini
Sawa lakin binamu usinichonganisheePattern si uliniambia nitoe
[emoji473] [emoji473] [emoji473] [emoji473]Jaman mbona nilikuletaa ukanivalia 4
Kiunoni bana huoni baba d ndio anaposhinda huko na binamu labda akiniletea hizo nikimvalia anaweza tuliaShanga 700?
Unavaa hadi kichwani ama?
Shanga anazipendaga binamu ndo ananisimuliagaaBaba D lazima nikafundishwe huko jinsi ya kuvaa labda utatulia
MhhAcha tu mtoto anakuwa na tumbo kubwa na ugonjwa wake sio wa hospital apelekwe kwa mtaalam anaponywa kwa fagio yale ya zamani au ndula ukimpeleka hospital anaweza kufa
Mnajuana na binamu yako baba dUnamuonaa binamu wako
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ha ahahhahahaha, hata mimi naamini kabisa wewe humuamini japokuwa uko neutral
Ikiwezekana ukajifunze kabisaKweli mke mwee usikute mtu hatulii sababu ya hizo mambo
Bitoz naogopa mimi hata paka mweupe [emoji134]Nitakunulia paka mweusi
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
.......
Wakongo wangelikosa ningelisema top ten yako ni maghumashii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]2/DRC![]()
![]()
![]()
Ni moja kati ya nchi maskini zaidi barani Afrika....ushirikina wao ndio umaskini wao
Wakati wanahangaika kurogani Wazungu wanachota tu madini yao(ni miongoni mwa nchi 5 wazalishaji wakubwa wa almasi duniani)
Hawa jamaa sijui wana tatizo gani maana pia ni matapeli wakubwa Achilia mbali Wanigeria
Laana ya ushirikina inawatafuna
.........
Umeanza kumnyima raha baba DSawa Baba D msalimie mdogo wake mama ashura
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mke mweee umeanza ujue ebu niache kwanza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] alikukomesha lakini alikutisha tu itakuwaEnzi hizooo!
Nilikuwaga na mdada wa kizigua bhana! Akaniambia nikimuacha ananinunulia zongo la buku...
Nilikiwa namuogopa balaaa! [emoji3][emoji3] nikaona nitakufa kwa presha tuu
Ni hizo shanga 700 tu shemela kanogewa na kuhesabuItakuwa Kuna kitu anakikosa [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Niiwe kama babu yetu auHata mimi ninamuombea sana abadilishwe awe mpya, asiwe wa zamani yaani aapudetiwe
Eid ilinoga kweliAlichoka sana leo