Makapuku Forum

Makapuku Forum

TOP TEN
Uchawi upo au haupo ?
Umewahi kurogwa ?
Unaamini katika ushirikina/uchawi ?
Umewahi kwenda kwa sangoma kurekebisha mambo?
Majibu kaa nayo tu moyoni bwako hayanihusu.......

Binafsi siamini katika uchawi na ushirikina wala kuogopa eti kurogwa!! Mbona hawarogi makaratasi yageuke pesa ili tuondokane na hali ngumu ya awamu hii ya bwana Sizonje

Tupo karne ya 21 lakini kuna nchi kibao duniani bado zianaamini katika uchawi
Sasa nakuletea kumi kubwa ya nchi vinara kuamini uchawi na ushirikina duniani
karibuni
......
Interesting
 
1/Indonesia
212abc02f4bd9684382f6eac38f027a7.jpg
eb12b09ab6e4b7cc8e7cc661fe37f0cf.jpg
b9203e263a17d36c96607b5266a51149.jpg
Nani nasema Waafrika pekee ndio wachawi?...tembea ujionea
Huku nako usiku ni mwendo wa kuvua nguo na kuwanga
Rais wao keshasema hadharani kwamba anaamini katika ushirikina na kuwa Rais mchawi pekee duniani ....wewe na mimi kama hatuamini uchawi ni Imani/msimamo wetu
Waindonesia ni noma kiasi kwamba serikali unataka kuifanya practisi ng black magic iwecrimal offence
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
.........
 
10/Saudi Arabia
787304e415edd1cd71dbd2af1e40638b.jpg
e4aa76024b1cfc262397e6b7b42fdbb8.jpg
ec12840cf9bbdc0ed093e3fdc6f253a4.jpg
Ulifikiri washirikina wapo barani Afrika pekee ? Umepotea....Waarabu wa Asia nao wamo
Kutokana na kukithiri kwa uchawi wa watu kuwangianausiku(sijui uchi) serikali ya Saudi Arabia ikaona isiwe tabu ikaanzisha kitengo Anti--witchcraft Unit maalum kusaka wachawi
Ukishikwa unajihusisha na uchawi adhabu yake ni kuchinjwa au kutupwa jela
Wachawi wakuu ni wanawake
Naishia hapa.....Believe me or NOT
.........
Wachawi wakuu ni wanawake
 
I seee! Hatari...upo mwaka pale KIBAHA..wakati wabutawalabwa Che...Nkapa walikuja watu na barua toka ikulu kuwa watoe wachawi..serikali za mtaa zisimamie..jamani niliona maajabu kwa macho yangu ..walikua da dawa unakunywa na unalipa elfu moja waliokataa wote walikufa..waliokunywa na kurudia wote hawapo,waliokunywa na kuacha uchawi wengi walifilisika hakika haya mambo uyasikie tu...
Kwahiyo eneo hilo sasa hivi hakuna tena wachawi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom