Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Nilikuwa nakusubili shemela kwa hamuAisee haaaaahaaaa, namwamini sana shemela wangu
Nilikuwa nakusubili shemela kwa hamuAisee haaaaahaaaa, namwamini sana shemela wangu
KashasafiriSawa Baba D msalimie mdogo wake mama ashura
Unajua shemela KF ni burudani sana wakati mwingine![]()
![]()
shemela kama nakuona ujue hapo utaamini ni kweli
.....aaah, anko haya mengine ni kama tulivyoongea!
Nikiapia hapa sitaaminika hata kidogo

Apooo sawa kwanzaa akupelekeUsikonde, nipeleke kwa BH nami nikupeleke kwa mama Ashura, quid pro quo
Hapana shemela hiyo ofa siitaki kwakweli anipe tu kukuUnakataa ofa
AiseeNdio ninachotaka kufanya labda hivi kiuno kitupu anashindwa kuniambia ujue kumbe anaenda nje kuhesabu huko shanga 700 kwa mdogo wake mama ashura
Ndiooo binamu hamna kitu au ndio mana anakuja huko kwako kwa mama ashura.....kiko kisafi kama uwanja wa nyumba ya mwalimu mkuu
Anajuaa kucheza nazo huyu akikusimuliaa wee achaa![]()
![]()
![]()
![]()
wewe sitaki hizo niletee 700
Kwahiyo utachelewa wapiKashasafiri
Sanaa shemela yaan nikiingia humu stress zangu zinapungua jamaan nasahau kabisaUnajua shemela KF ni burudani sana wakati mwingine
Aanze yeye kunipeleka kwanzaApooo sawa kwanzaa akupeleke
Kwa bitoz utapata, kambale, paka, Bata na kondoo, sasa chagua weweHapana shemela hiyo ofa siitaki kwakweli anipe tu kuku
Au shemela unaonajeAisee
Na mie nazitaka hizoAnajuaa kucheza nazo huyu akikusimuliaa wee achaa
Kuku hana basi akichinja mbuzi niende nikachukueKwa bitoz utapata, kambale, paka, Bata na kondoo, sasa chagua wewe
SanaSanaa shemela yaan nikiingia humu stress zangu zinapungua jamaan nasahau kabisa
KweliiAu akatoa penalty