Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Now?who is she?
.
.
Now?who is she?
Ooh asante sana.![]()
Siku ni star wa filamu (actress) na siyo nun![]()
.
.
Nipo hapaa Lee lete ujumbeMama mchuchu ...nina ujumbe wako lakini
Njema jamani za Eid,nimeona jana uko Karatu je za huko ubarikiwe mkuuMama mchungaji za mchana
Marahabq mwqmanangu Shunie za uzimaShikamoo Mama
Kweli hili jambo
Nahisi ni ule wa kuja kukutembelea na binamu kigamboniNipo hapaa Lee lete ujumbe
Bhinamu wangu jamaniiNipo hapaa Lee lete ujumbe
Nipo mbele kabisaTOP TEN
Uchawi upo au haupo ?
Umewahi kurogwa ?
Unaamini katika ushirikina/uchawi ?
Umewahi kwenda kwa sangoma kurekebisha mambo?
Majibu kaa nayo tu moyoni bwako hayanihusu.......Binafsi siamini katika uchawi na ushirikina wala kuogopa eti kurogwa!! Mbona hawarogi makaratasi yageuke pesa ili tuondokane na hali ngumu ya awamu hii ya bwana Sizonje
Tupo karne ya 21 lakini kuna nchi kibao duniani bado zianaamini katika uchawi
Sasa nakuletea kumi kubwa ya nchi vinara kuamini uchawi na ushirikina duniani
karibuni
......
Asante kutuandaliaTOP TEN
Uchawi upo au haupo ?
Umewahi kurogwa ?
Unaamini katika ushirikina/uchawi ?
Umewahi kwenda kwa sangoma kurekebisha mambo?
Majibu kaa nayo tu moyoni bwako hayanihusu.......
Binafsi siamini katika uchawi na ushirikina wala kuogopa eti kurogwa!! Mbona hawarogi makaratasi yageuke pesa ili tuondokane na hali ngumu ya awamu hii ya bwana Sizonje
Tupo karne ya 21 lakini kuna nchi kibao duniani bado zianaamini katika uchawi
Sasa nakuletea kumi kubwa ya nchi vinara kuamini uchawi na ushirikina duniani
karibuni
......
KaribuniNahisi ni ule wa kuja kukutembelea na binamu kigamboni
Mama angu mie najua vile wapenda mauwa

YOELI 2
12.Lakini hata sasa asema BWANA ,Nirudieni mimi kwa mioyo yenu yote,na kwa kufunga ,na kwa kulia ,na kwa kuomboleza
Asante Baba kutuamsha salama.tunaomba toba kwa yote tuliyokosa kwa mawazo,maneno na matendo uturehemu twakusihi.
Bariki MAKAPUKU wote mahali hapa ,tupe moyobwa kukutegemea na kukuamini na kila tunapoenda kinyume na mapenzi yako ,kwa matakwa yetu wenyewe hima tukurudievkwa kuomba,kutubu,kuomboleza ili utusamehe na tujute tusirudie yale runayozoea kutenda kwa kukusudia au bahati mbaya,tufundishe kusamehe wenzetu kama vile unavyotusamehe,asante kwa siku ya leo endelea kutuweka karibu tukufundushana kwa upendo na kuchukuliana.
fariji wafiwa,wajane,yatima ponya wagonjwa watie moyo waliovunjika moyo waendelee kukutegemea.
Asante BABA maana kila siku unasikia na kujibu maombi yetu.
Katika jina la YESU Amen
SIKU NJEMA WAPENDWA![]()
![]()

Umekuwa mchochezi sana shemela na mhabeshi sikuwekei sasa ujue umemfundisha mpaka mke mwee