Makapuku Forum

Makapuku Forum

Najua sana kuhusu mdogo wake, madada wa Mtwara hawafichani. Nilimuulizaga hivi;

Mimi: mbona unavaa nyingi sana?

Yeye: kwani hizi ni nyingi! Hujaziona za mdogo wangu.

Sasa hapo anko unadhani sijui nini?
Nataka nijue binamu na me nimvalie baba d ujue labda hivyo cha kwangu kilivyo kitupu bila kitu ndio inasababisha atoke aje hukooo
 
Najua sana kuhusu mdogo wake, madada wa Mtwara hawafichani. Nilimuulizaga hivi;

Mimi: mbona unavaa nyingi sana?

Yeye: kwani hizi ni nyingi! Hujaziona za mdogo wangu.

Sasa hapo anko unadhani sijui nini?
Yereeeewiiiiiih ...[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Nilijuaaa ile siku nimekumbukaa
 
Back
Top Bottom