Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Haikuwa kazi rahis kama unavyofikkriaammmh, najua ulitoka lakini anko wangu wewe kama mvuvi ukikosa samaki madoa unaibuka na changu maana hawa huvuliwa kiurahisi.
Kweli unachokisema ila nyongeza / maana nyingineKuna eye-hole moja kwenye simu ila zipo nyingi pembeni
Ila kuna vitu watumiaji wa simu hatukijui..! And i want to put this clear kama na IT hapa ataongeza.
Ukipiga picha kwenye simu yako utajua kuwa wewe ndie mwenye accessibility tuu ila sio kweli..
Social netwerks zinanasa sana picha za kwenye simu zetu..! Ukipiga picha na kupost humu afu ukaifuta , hapo umeifuta kwako tuu..ila jf itakuwepo milele..
Nenda fb au insta kule..post picha! Baada ya muda ifute ile picha...ila owners wa fb na ista watakuwa na picha yako kwenye data base zao milele..
So hivyo vitu kama macho ni media ambazo ziko aware na picha/video unazopiga kwa simu yako..
I stand to be corrected![]()
Akuu mie cna wivuWivu sasa
Komredi kipepe,mzee meko(mshambuliaji hatri) na lodi lofa wengine nimewasAhau
Hapa jamaa anaelekea ana kazi nyingi na ametumia nguvu nyingi kufanya hizo kazi..![]()
.
.
.
Mwisho
.......


Pamoja mkuu...!Nimekupata vizuri hapo
Amen my dear karibuAsante kwa chakula cha roho mama,ubarikiwe pia![]()
![]()
![]()
Mama mchuchu anasema amekumiss..Aisee ni poa tu!

HahahahaPolee sana ila niamini kila kitu kipo sawa
Vipi mama ashura kaondoka??
Amina. Asante mama mtumishi.WARUMI 8
31 Basi tuseme nini juu ya hayo MUNGU akiwa upande wetu ni nani atakuwa juu yetu?
32 Yeye asiyemwachilia Mwana wake mwenyewe bali alimtoa kwa ajili yetu sisi sote. Atakosaje kutukirimia mambo yote pamoja naye
33 Ni nani atakayewashitaki wateule wa MUNGU? MUNGU ndiye mwenye kuwahesabia haki
34 Ni nani. atakaye wahukumia adhabu? Kristo Yesu ndiye aliyekufa naam; na zaidi ya hayo amefufuka katika wafu yuko mkono wa kuume wa MUNGU tena ndiye anayetuombea
35Ni nani atakaye tutenga na upendo wa Kristo? Je! Ni dhiki au shida, au adha, au njaa, au uchi, au hatari, au upanga?
36 Kama ilivyoandikwa, ya kwamba, kwa ajili yako tunauawa mchana kutwa, na tumehesabiwa kuwa kama kondoo wa kuchinjwa
37 Lakini katika mambo yote hayo tunashinda, zaidi ya kushinda, kwa yeye aliyetupenda
38 Wala yaliyo juu wala yaliyo chini wala kiumbe kinginecho chote hakitaweza kututenganisha na upendo wa MUNGU Ulio katika Kristo Yesu Bwana wetu
MUNGU ANATUPENDA SANA NDIO MAANA TUPO MPAKA MUDA HUU HAKUNA CHA KUTUTENGANISHA NAE TUKAZE MWENDO TUMSHUKURU TUMPENDE ANATUPA KUSHINDA
KILA WAKATI. MBARIKIWE MCHANA MWEMA
![]()
![]()
Hivi ni kwa nini nakuwaga mzito hivyo kuandika???!
Hizo picha za Bitoz naziangalia tuu kila nikitaka kutoa maelezo naondoka tu automatically....
...acha zako, mimi sijapona sema nimekataa wewe usiambatane na BH kuja kuniona. Na nimewatangazia ndugu zangu kuwa umeniroga, sasa ni juu yako kuongozana naye au kukumbana na ndugu zangu wenye hasira kali za mfungo
we mgonjwa kiboko
Wikendi vipi!?Poa shem ake
Hamna namna....ewaa na nilikua na tai tatu huwa namechisha na aidha saa au simu. simu yangu ina kava la yellow! Sijui mjomba alinifananisha mimi na dereva wa school bus? Ila ndo zawadi tena utafanya nini hata kama ungekuwa ni wewe?