BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Hahhaha duh!...itakuwa ni hivyo, maana alinishauri nimuone mshauri nasaha, labda wanataka kunipa saa nyingine😀
Hahhaha duh!...itakuwa ni hivyo, maana alinishauri nimuone mshauri nasaha, labda wanataka kunipa saa nyingine😀
hivi mke mwee basi acha ninyamaze huu uhandishi wako huuAkuu mie cna wivu
Samahan anko etii anko ...bhinamu .kile chumba cha wageni ni kisafi ??🙂
Mimi nimemsiss sana, saa hizi kasema anakuja kuniona mgonjwa
KipepeKomredi kipepe,mzee meko(mshambuliaji hatri) na lodi lofa wengine nimewasAhau
aisee ila binamu weweNilimpa ile nokia 3310. Niliibadili kava likwa linasoma iphone
Utamuona akiponaajaman binamu ujue natamani kukuona
hahah akitokea na marangi yake ya njano kama yange yange
Yaani ingekuwa kuongea... Mngenichokaa lakini kuandika daahTiririkaaa
Nilisikia ripoti zake!Mbeya kulikuwa na jambazi maarufu enzi hizo aliitwa Jombi jamaa alikuwa anaenda hadi Sauzi kuiba
......
mama mchuchu asiendeMuachee aendeee
kweli tumie hata picha yake najua mnajuanaUtamuona akiponaa
Haha hahahahahah, hapo nimemechisha na chupi ya VIP ina mistari ya njano.
Meno sijaswaki wiki yamekuwa ya njano, yaani nikismile kama unadrive kiscooter unapunguza mwendo😀

Haha hahahahahah, hapo nimemechisha na chupi ya VIP ina mistari ya njano.
Meno sijaswaki wiki yamekuwa ya njano, yaani nikismile kama unadrive kiscooter unapunguza mwendo😀

Unanunua kesi ya mwakaamama mchuchu asiende
Karibu mkuu EMMYGUY barikiwaAmina. Asante mama mtumishi.
Mmh!..jaribu manually hautaondoka
Pole mkuubinamu yangu jamaan ushindwe wewe leo mama mchuchu huyo hapo anakufata ulipo na mm naumwa jamaan