Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Nawashangaa hawa wanaokulaumu kwa kuquote, yaani kwa vile ni wewe unaruhusiwa kuquote tangu part one hadi hii ya jana.
Tena kama vipi sema neno moja tu nami niiquote halafu uniquote urudie kusoma
