Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
mzima mie mke mwee mke wa pedeshee lee mutu ya peremende mutu ya pesa mingiiiSalama mke wa pedeshee,mzima weye
mzima mie mke mwee mke wa pedeshee lee mutu ya peremende mutu ya pesa mingiiiSalama mke wa pedeshee,mzima weye
Alijibu ndioooohalaf wala hajanipatia pm hivi ulijibiwaje shemela
![]()
![]()
usinambie simu umempa kweli??
Nyongezaa mkuuMsanii ni kio cha jamii...
Ukiangalia picha vizuri jamaa yuko na gitaa manake ni mtunzi/ muimbaji wa mziki..
Ila usoni kwake kuna kioo ambacho kina picha ya audience/watazamaji ambao ni jamii..
Uso wa mtuu hutoa muonekano mpana wa mtuu hivyo umefanywa kama ndio kioo cha jamiii..
I stand to be corrected..!
Sikujuuaa
Tuambizane make ntajua kila kituNilimpa ile nokia 3310. Niliibadili kava likwa linasoma iphone
Waaaap ...mm nilitoka ulivoniachaaNdo ujue sasa ili usianze figisu tena kama kule kwa jana. Maana imebidi nikuache tu pale kantiini
Kuna eye-hole moja kwenye simu ila zipo nyingi pembeni


Waaaooooh
Obe mzee wa saa na smartphone
Aende peke yakee

Wengi tunaamini sana kile tunachokiona kuwa kipo sawa kiimtazamo ...hii picha kila kitu kinachooneka kinnaweza au kina maana yake ila ukiviangalia kwa pamoja in general meaning jibu au majibu yapo mengi...
1.sio kila tunachokiona kikiwasilishwa kipo sahih ...apa upotoshaji
2.media japo ndo chanzo kinachoaminika hivyo yatupasa kuvitumia haswa ipasavyo ...ile ncha inayochomoza sio kwamba yanaishia kwwa mmoja laa asha
3.ukiangalia vizur sura ya mtazamaji au mfatiliajii inaonesha kama yuko makini sana /au kakasirika na hii ina maana kubwa



Asantee ..![]()
.
.
.
Mwisho
.......
Waaaap ...mm nilitoka ulivoniachaa
Nipo njiani naenda tabata then mkoani kibaha![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
shemela shululu kaa kimya
Pole binamu hope mama mchungaji anakaribia kufika tangia aage kuwa anakuja ni kamuda kdgoLol! Sijapona jamani, mbona mnainyanyapaa kusikia tu BH anakuja. Yanni fitna zinavyotembezwa hadi najihisi gundu. Eti kuna mwingine kajitolea kumsindikiza, aunt hii ni haki kweli hata kama ungekuwa wewe ndo unaumwa!!!
Anko wangu keshaandaa ulinzi, atakayejidai kumsindikiza tu ataishia getini maana nishachoka sasa, mtu asitembelewe imekuwa nongwa, tena ninaumwa jama