Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Mzee wa kukeshaIwe daily
Mzee wa kukeshaIwe daily
Nitaenda nae
Tutaujadili vizuri kesho maana ndio siku nzuriWakati naheshimu msimamo wako mtaasisi, mimi niko tofauti, wanaopata mimba wapewe nafsi ya kusoma baada ya kuwa wameongeza raia nchini. Na tena hawa ni mfano mzuri kwa wengine. Anyway ni mjadala mpana sana huu na natamani kuwa na muda wa kujadili
Zina makusudi yake ndio maana zikapangwaUmeanza, sasa zile zamu huwa ni za nini?
Mama usiquote story yote ...naamini umepitiwa tuAsante Lee hadithi nzuri ubarikiwe
Swaumu haijamkolea vizuriUkiona mtu anahesabu bila kukosea jua huyo kama kafunga basi kafunga hizi, tatu tu
NilikwambiaaAsante kwa maombi na ile kusema tu unakuja yaani tayari viungo vimechangamka, yaani ninajihisi kupona na nimepoteza nguvu zangu kwenda kwa dokta usiku, ilhali wewe maneno yako tu tiba tosha
MmmmhNitaenda nae
Mama mchungaji leo umenunua kesi, ila kwa wewe tumekusamehe
Ila mwanao shunie atacheka sana

Mama mama mama mamaAsante Lee hadithi nzuri ubarikiwe
Kiasi chake MkuuLeo naona uko vizuri
Nilikuwa LindoMzee wa kukesha
Za jumamos nzuri, vip upande wakoHabari za jumamosi
Niachiee mimiNitaweka masharti kuwa wakuzuie kuja kuniona, tena RB yako naifuata saa hizi. Naona unaleta utani kwenye mambo ya msingi. Mimi naumwa
Umeshapona kabisa mtaasisi tunafuta meetingNitaweka masharti kuwa wakuzuie kuja kuniona, tena RB yako naifuata saa hizi. Naona unaleta utani kwenye mambo ya msingi. Mimi naumwa

Umeishampata shemeji yetu?Nilikuwa Lindo
Swalamaa yakheeSwalama umu?
Njema kabisa mkuuHabari za jumamosi