Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Mkuummmh, najua ulitoka lakini anko wangu wewe kama mvuvi ukikosa samaki madoa unaibuka na changu maana hawa huvuliwa kiurahisi.
Naaje
Mkuummmh, najua ulitoka lakini anko wangu wewe kama mvuvi ukikosa samaki madoa unaibuka na changu maana hawa huvuliwa kiurahisi.
Jibu uliliona, ila jamaa kakanahahahha sina mikwala shemela
Seriously! Nakutumia anuani uje na maua na fanta orange, usisahau na kuku wa kuchemshwa pilipili kidogo na vocha
SN: Niko poa kwa sasa

Mimi nilitumia reference ya kiatu chako cha yellow....ewaa na nilikua na tai tatu huwa namechisha na aidha saa au simu. simu yangu ina kava la yellow! Sijui mjomba alinifananisha mimi na dereva wa school bus? Ila ndo zawadi tena utafanya nini hata kama ungekuwa ni wewe?
Asantee ..
Inshort kimtazamo ...jamaa anatamani kama kuna uwezekano angelibust kichwa chake (akili) kutokana na mazingira yaliyomzunguka (overload) ...
Also uwepo wa komputa unamaana kubwa ..yawezekana mtu anajituisha mzigo ambao ata hiyo computer ingelimsaidiaa
Weee.....!!!!Wampige Risasi ya kichwa hahahaah
Nimekupata vizuri hapoMsanii ni kio cha jamii...
Ukiangalia picha vizuri jamaa yuko na gitaa manake ni mtunzi/ muimbaji wa mziki..
Ila usoni kwake kuna kioo ambacho kina picha ya audience/watazamaji ambao ni jamii..
Uso wa mtuu hutoa muonekano mpana wa mtuu hivyo umefanywa kama ndio kioo cha jamiii..
I stand to be corrected..!
Nin tena
Wivu sasa
Huyo doktA bashite huyooMimi najijua naumwa malaria na vipimo vimesema hivyo, dokta ananiambia nile vizuri nipumzike na nifuate ushauri. Sasa najiuliza hii ni malaria tu au dokta hana vyeti? hebu hata wewe mpendwa wangu niambie

mzima mie mke mwee mke wa pedeshee lee mutu ya peremende mutu ya pesa mingiii

Komredi kipepe,mzee meko(mshambuliaji hatri) na lodi lofa wengine nimewasAhau![]()
Tuwatambuee hawa majamaa ...najua wengi tunamjua Madenge tu ila sio mbaya tukajikumbushaa ...nani alifatilia soka la hawa jamaa ...la kuandikwa ila mashabiki lukukii
Kavaa uhusika wa aina mbili binadamu na robot ...fikiria kwanza apo
Huyo doktA bashite huyoo
![]()
![]()
![]()
Akikujibu nitagKwan mshahara wangu unajua sh ngp kapuku
Inshort watu siku hiz tunapenda mteremko kutumia ubongo imekuwa shida tunapenda kurahisishiwaa ...kichwa kipo ilimradi
....ewaa na nilikua na tai tatu huwa namechisha na aidha saa au simu. simu yangu ina kava la yellow! Sijui mjomba alinifananisha mimi na dereva wa school bus? Ila ndo zawadi tena utafanya nini hata kama ungekuwa ni wewe?

Hakuna namna utavaa tu c zawadi bana....ewaa na nilikua na tai tatu huwa namechisha na aidha saa au simu. simu yangu ina kava la yellow! Sijui mjomba alinifananisha mimi na dereva wa school bus? Ila ndo zawadi tena utafanya nini hata kama ungekuwa ni wewe?
Oooooh vizuriiiiii uko vizuri...nilileta hii picha asubuhi nikiwa na maana kabisa ni kweli wabongo tumekuwa wa kulalamika soka letu ata sisi hapa tumefanya hivo ...baadae naweka ngumu kumeza japo wachache wataelewa au kufatilia ila sisi ndo kapukuKomredi kipepe,mzee meko(mshambuliaji hatri) na lodi lofa wengine nimewasAhau