Makapuku Forum

Makapuku Forum

77d97c627389237096c3f8bb826d0893.jpg
sina la ziada katika michezo na transfer complete

Kwa udhamini wa BlessedHope na werrason..


Tuwe na weekend tulivu
 
...acha zako, mimi sijapona sema nimekataa wewe usiambatane na BH kuja kuniona. Na nimewatangazia ndugu zangu kuwa umeniroga, sasa ni juu yako kuongozana naye au kukumbana na ndugu zangu wenye hasira kali za mfungo
Aisee nakuona mtaasisi unanikataa nitakuja tu kukuletea dawa ya kukuponya kisha nitakuacha umalizie dozi kwa nafasi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom