Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
hahhaha acha tuHuuuuuu
Ngachokaa
hahhaha acha tuHuuuuuu
Ngachokaa
nimeona shemelaUmeona ehee
Hongera zake yuko vizuri asante kwa NUKUU T wa Sakayo barikiwa sanaNUKUU YA LEO.
The united states has to have the capability to deal with more than one enemy at one time and be able to confront them and win.
Marekani inatakiwa kuwa na uwezo wa kupambana na adui zaidi ya mmoja wa wakati mmoja na kukabiliana nao hadi awashinde.
Haya maneno yaliwahi kutamkwa na mwanasheria,mwanajeshi, jasusi na mkurugenzi wa zamani wa CIA Bw. Leon Edward Panetta. Leon mwenye asili ya kiitaliano alizaliwa tar.june 28 1938 katika jiji la carlifornia na wakimbizi wa kiitaliano.
Leon alisoma shule za catholic na baadaye alisomea digrii ya sayansi katika siasa, (political science) na baadaye Alipata digrii ya sheria.
Baada ya kutoka chuo kikuu alijiunga rasmi na jeshi la marekani na akawa anafanya kazi kitengo cha intelligence cha jeshi la marekani mwaka 1964 hadi 1966.
Baada ya hapo aliingia kwneye siasa kama mwakilishi wa carlifornia kwenye congress, alideal sana na mambo ya budget ambapo alimsaidia kupenya hadi ikulu ya marekani na kuwa White House Chief of staff wa rais Bill Clinton.
Barack obama akaja kumtea kuwa Director wa CIA mwaka january 5 2009, watu wengi walipiga kelele sana juu ya utenuzi huo wakidai kuwa Panetta hana uwezo na uzoefu wa kazi hiyo mpya aliyopewa.
moja wapo ya watu waliolalamika kwa uteuzi wa Panneta ni Dianne Feinstein seneta wa jimbo la calfornia anakotokea Panetta mwenyewe, huyo mama alikuwa ni mwenyekiti wa kamati ya uteuzi ya senates juu ya mambo yote ya usalama wa taifa la marekani.
Barack obama akamtua Panetta, sasa uliza mangapi yamefanyika chini ya uongozi wa panetta? shut-down ya Al-quida, vita kuuwa vinu vya nyuklia vya Iran, Korea, warheads fake alizouziwa Korea na muingereza?
![]()
![]()
![]()
Kuna kitu alikuwa cha ziada alikuwa nacho Panetta!
Morning Wakuu.
ngoja niruhusiwe na Baba D hivi unataka nini kwani PmNipm basi shunie
Tumeisha kusamehe mama mchungaji![]()
![]()
sijasamehewa kumbe mnisamehe jamani CC Shunie mwanangu UNISAMEHE
Achana na wale jamaa bhanaEti tuahindane kupost makorokoro km vilemwxrddg &%$$&%$$ /_/___&$-- au mtu kujisemeshasemesha page nzima ili uwe na kasi
![]()
![]()
![]()
![]()
Likes hukaa kwenye profile lakini maandishi ya mtu hukaa moyoni
Mtu atakupenda,kuchukia kutokana na maandishi siyo maLIKE
.......





Nimeuliza tu,, maana leo hajalala labda alale sasa hivi
hajalala kwa nini mlikuwa lindo wote jana me nimelala mbona alikuwa hayupo na nilikua na hamu ya kukesha
sawaNshaamka mda sana
Safi ni mnara maarufu
Ni mnara uliopo Liberty Island jijini New York .....ndo chimbuko la jina lake![]()
Umetengenezwa kwa madini ya shaba na Wafaransa ambao waliamua kuwapa Wamarekani kama zawadi tu
.......
Hivi bado unasumbuliw tuu..? Na watoto wote hao ulionaoendelea kuota ekyoma
Kuna uzi kule sijui umeuonaahahhaha acha tu
Pamoja mama mchuchu...Hongera zake yuko vizuri asante kwa NUKUU T wa Sakayo barikiwa sana
uzi wa nani tena nimeingia moja kwa moja nimejibu pm yako na kuingia kapukuKuna uzi kule sijui umeuonaa
shangaa na wewe na watoto wote hawaHivi bado unasumbuliw tuu..? Na watoto wote hao ulionao
Next week nitaweka muendelezo wake hapa pia..Hongera zake yuko vizuri asante kwa NUKUU T wa Sakayo barikiwa sana
1982 - Alex Rodrigo anazaliwa.
Beki kisiki wa zamani wa Chelsea, PSG na Ac Milan.
Nipm kile kitu tulichongea jana...ngoja niruhusiwe na Baba D hivi unataka nini kwani Pm
Ulivyotoka tu naye akaingia![]()
![]()
![]()
hajalala kwa nini mlikuwa lindo wote jana me nimelala mbona alikuwa hayupo na nilikua na hamu ya kukesha
Afu wewe ndio unacomplicate bhana..ngoja niruhusiwe na Baba D hivi unataka nini kwani Pm

Hahaaa...Kuna uzi kule sijui umeuonaa