Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Tuko pamoja dadaAsante mkuu Shululu kwa magazeti asante mkuu Mndali kwa udhamini mbarikiwe
Tuko pamoja dadaAsante mkuu Shululu kwa magazeti asante mkuu Mndali kwa udhamini mbarikiwe
wanamtamani ila hawana uwezo wa kuvunja mkataba wa Ajibu pale SimbaOk
Labda tuseme "wameshamalizana" mi nilisoma page ya Yanga km sijakosea
......
Nahisi mkataba wa mwezi 1 mbelewanamtamani ila hawana uwezo wa kuvunja mkataba wa Ajibu pale Simba
Kwema mkuu naona siku hizo unaonekana mda wa majeruhiKamanda kwema?
ongeza Dau maana kuna watu tuna plan kumpa heka 2000Mchuchu shunie leo nimeota paja lako kama kweli lile ndo lako akiamungu nipo tyr kukupa mshahara wangu wote
Pole Obe unaendeleaje? Mungu akuponye, uko wapi nije nikuone nikujulie hali
Wampige Risasi ya kichwa hahahaahHakika nanuogopa sana tuwe waangalifu sana anaiba hadi watoto anakula naomba watu wachukue tahadhari alikiri mengi na akaokoa after few days akakutwa na kichwa cha mtoto aliyepotea mahali haki tujipange na anatimu kubwa hayupo pekee
Pamoja kiongoziPedeshee mutu ya peremende niko powaaa
Pamoja sana shemejiAsante kwa magazeti shemeji
Mchuchu shunie leo nimeota paja lako kama kweli lile ndo lako akiamungu nipo tyr kukupa mshahara wangu wote

Ajibu hana mkataba wowote Simba(mkataba wake unaisha July) hivyo ndo anaweza kusaini popotewanamtamani ila hawana uwezo wa kuvunja mkataba wa Ajibu pale Simba
Unaumwa nn mpendwa?!
![]()
Looooohongeza Dau maana kuna watu tuna plan kumpa heka 2000
Point ....Ajibu hana mkataba wowote Simba(mkataba wake unaisha July) hivyo ndo anachosubiri tarehe tu iishe asaini Yanga
Hivyo havunji mkataba wala hauzwi anakuja tu BURE
Akitua Jangwani ni uzembe wa viongozi wa Simba kutomuongezea mikataba mapema yatakuwa km ya Amissi Tambwe
......
Binamu anapanga kuja kukuona mama mchuchu naona dawa yako sasa inaanzaa kukoleaaMimi najijua naumwa malaria na vipimo vimesema hivyo, dokta ananiambia nile vizuri nipumzike na nifuate ushauri. Sasa najiuliza hii ni malaria tu au dokta hana vyeti? hebu hata wewe mpendwa wangu niambie
Mimi siafiki wanaopata mimba kurudi darasani
Kikofia mambo viptayari kashatua Yanga
Mkuu ndio magazeti yetu, tufanyeje sasa? Tuamini tunachoona au tunachosikia? Labda Mwakyembe haya huwa hayamuhusuNi kwelii au magazeti ??