Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
na haruna tena jamaaan hii simba sasa sifaaa
na haruna tena jamaaan hii simba sasa sifaaa
shemela wangu mie asante kwa magazetiSina la ziada tukutane tena kesho Nawatakieni siku njema
Ndio mkuu imeshatokaRatiba ya EPL imetoka leo hii
unafuturisha lini jamaan TmullerMfungo 19 leo, Ramadhan Kareem
Itakuwa nao wameona fursaPuerto Rico nao naona wanapiga kura. Wanataka wawe jimbo la 51 la USA Baby!
pole BitozHuku Uswaz kwetu tumelala giza km bundi jana na tumeamka gizani km kuku bandani na hadi sasa umeme haujarudi
Jovyo hata simu chaji imekata ila IPTL/Dowans nasikia hata umeme usipokiwepo wanalipwa tu mamilioni yao kila siku
.....
na huko dada poleni jamaanUko niliko nini, hata kwetu toka Jana mchana mpaka leo ni ziiii... Wala hamna dalili
Bali wana nyota gani?Flat screen ndo mpango mzima. Vyura watu wameshafanya tafiti na kugundua kwamba hawana nyota ya maendeleo...![]()
usiyatoe mke mwee aendelee kutamani avatar za watu![]()
![]()
![]()
![]()
kumbe cyatoi
Asante mussolinLeo katika Historia:
Sina la ziada, siku njema.
Huko ni full ghorofa tu
Hapo ni lazima Sungura akubali matokeo
nitairudisha jamaan hii niliyoweka Baba D haitaki kabisa nimeweka kiubishi tuAvatar ile tumeipigania tumechoka. Sasa tumewekewa Mhabeshi mbichiiii...
Kama kuna mwenye ile avatar ya kwanza please airushe hapa. Nataka niihifadhi kama kumbukumbu yangu nije niwasimulie wajukuu...
itarudiiiiMajukumu kidogo yalizid
naona ile avatar ya mapaja mazuri umeiondoa
tehTatizo mnaangazia kwa wenye vyura zaidi
Sie ma flat screen wala hamna habari kwetu
Ndio maana vipato vinakua sababu ya utoaji