Makapuku Forum

Makapuku Forum

Marekani wanawake waliruhusiwa kupiga kura majuzi juzi hapa tu (mwaka 1920) na mpaka leo bado wanabaguliwa hasa katika mishahara. Kwa wastani mwanamke wa Marekani leo hulipwa senti 79 kwa kila dola ambayo mwanaume hulipwa. Yaani kama mwanaume analipwa dola 1 kila saa hata kama ni kwa kazi ile ile, elimu ile ile... mwanamke yeye atalipwa senti 79.
Magu aiige hii ili kurudisha heshima kwa familia ... wafanyakazi wa kike bongo nyodo kichizi!
 
Leo Katika Historia:

1900 - Hawaii yawa jimbo la Marekani.
695092273d4153f300be63689d206c5b.jpg
2d26d5439dc63a48fd9a52effdf3e3f7.jpg
5db7f7324925805ba93adc0ce5082842.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom