Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,382
Salama. Karibu kamanda!Habari wakuu?..
Salama. Karibu kamanda!Habari wakuu?..
Nzuri mkuuHabari wakuu?..
1926 - Brazil yajiondoa kwenye League of Nations.
Puerto Rico nao naona wanapiga kura. Wanataka wawe jimbo la 51 la USA Baby!
Wewe si tayari unamke?Bhanaaa... unapeleka fursa wapi? Anza na mimi!
Tatizo we hulali na hela banaNiko hapa
Flat screen ndo mpango mzima. Vyura watu wameshafanya tafiti na kugundua kwamba hawana nyota ya maendeleo...Tatizo mnaangazia kwa wenye vyura zaidi
Sie ma flat screen wala hamna habari kwetu
Mzima weweTatizo we hulali na hela bana
Aaa wapi! Wanawake wapo wa kulala nao tu lakini ukianza kutafuta yule mmoja wa mpaka kifo aisee ni zoezi pevu. Hasa ukiwa umeshamaliza vihitaji hivi vya msingi msingi kazi ni ngumu zaidi kwa sababu huwezi kujua kama mtu anakupenda wewe kama wewe au anapenda hivyo vihitaji hitaji vyako ulivyonavyo. Ni kusali na kuomba sana japo nadhani pia kwa hali ya sasa si lazima sana kuoa...Jaza Ujazwe!Materials tumejaa sana mbona
Sina mke wala mtoto, njoo tuyaanze maisha!Wewe si tayari unamke?
Hahaa mnawaponda ila fulu kuwakodolea macho na kuwamezea mate lolFlat screen ndo mpango mzima. Vyura watu wameshafanya tafiti na kugundua kwamba hawana nyota ya maendeleo...![]()
Ahsante mkuu, tumejua sasa