Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
SwAlama mkuujaman swalama humu ,Napita tu mie wala sina madhara
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Wasalimie uendako
SwAlama mkuujaman swalama humu ,Napita tu mie wala sina madhara
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nawe pia na asante kwa ufafanuziWadau kwa wale waliokuwa wanajiuliza kuhusu JK kushtakiwa kwa aligoyafanya akiwa Waziri nafikiri Fundu Lissu kawafafanulia vizuri kwamba Wakati akiwa Waziri hakuwa na kinga ya urais hivyo hata sasa anaweza kushtakiwa kwa yote aliyoyafanya kabla hajaingia pale Magogoni hivyo hata Sizonje anaweza pia kushtakiwa kwa uuzwaji wa nyumba za serikali wakati akiwa Waziri
Niwatakie siku njema
...........
Poleni sana mkuuHuku Uswaz kwetu tumelala giza km bundi jana na tumeamka gizani km kuku bandani na hadi sasa umeme haujarudi
Jovyo hata simu chaji imekata ila IPTL/Dowans nasikia hata umeme usipokiwepo wanalipwa tu mamilioni yao kila siku
.....
AsanteMfungo 19 leo, Ramadhan Kareem
Jambo jema mkuuKweli 19, typing error ila nsha- edit
Familia haijamboKweli 19, typing error ila nsha- edit
Bila kusahau aliyekuwa Rais wa LibyaKirat
![]()
Hauna mbwembweYeah naona unaondoka haraka haraka
Ni kweli mkuuWadau kwa wale waliokuwa wanajiuliza kuhusu JK kushtakiwa kwa aligoyafanya akiwa Waziri nafikiri Fundu Lissu kawafafanulia vizuri kwamba Wakati akiwa Waziri hakuwa na kinga ya urais hivyo hata sasa anaweza kushtakiwa kwa yote aliyoyafanya kabla hajaingia pale Magogoni hivyo hata Sizonje anaweza pia kushtakiwa kwa uuzwaji wa nyumba za serikali wakati akiwa Waziri
Niwatakie siku njema
...........
Naona unapita kama mwezi mtukufujaman swalama humu ,Napita tu mie wala sina madhara
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Pole sana ndo utajua kuwa tz ina wenyewe na wenyewe ni waoHuku Uswaz kwetu tumelala giza km bundi jana na tumeamka gizani km kuku bandani na hadi sasa umeme haujarudi
Jovyo hata simu chaji imekata ila IPTL/Dowans nasikia hata umeme usipokiwepo wanalipwa tu mamilioni yao kila siku
.....
Ahsante kwa taarifa mkuuWadau kwa wale waliokuwa wanajiuliza kuhusu JK kushtakiwa kwa aligoyafanya akiwa Waziri nafikiri Fundu Lissu kawafafanulia vizuri kwamba Wakati akiwa Waziri hakuwa na kinga ya urais hivyo hata sasa anaweza kushtakiwa kwa yote aliyoyafanya kabla hajaingia pale Magogoni hivyo hata Sizonje anaweza pia kushtakiwa kwa uuzwaji wa nyumba za serikali wakati akiwa Waziri
Niwatakie siku njema
...........
We pita tujaman swalama humu ,Napita tu mie wala sina madhara
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mkataba wao pia ufumuliweHuku Uswaz kwetu tumelala giza km bundi jana na tumeamka gizani km kuku bandani na hadi sasa umeme haujarudi
Jovyo hata simu chaji imekata ila IPTL/Dowans nasikia hata umeme usipokiwepo wanalipwa tu mamilioni yao kila siku
.....
Utakuwa umekurupuka mkuu bado haujaamkanaona kila mtu anapost anachojisikia
Tulia uone jinsi maisha yanavyokwemdaAu ndo makapuku hawana la msingi la kuongea
Hakika, wanaziwazia siku sita![]()
wasiofunga wanaanza kujiutia