Makapuku Forum

Makapuku Forum

8/Afrika Kusini
b76e86dc5745b80ccac79d554faa0adc.jpg
a6a884a17e582d3c39b5b1039f19d828.jpg
e6c19f4b99920b4f99e3340315d96d17.jpg

Achilia mbali dhahabu hawa jamaa na almasi pia wamo
Almasi yao ina weupe uliokolea na ina thamani kubwa sokoni....Jiwe/dini la kuvutia zaidi duniani lilipatikana huko Sauzi
Kampuni kubwa huko Sauzi ni De Beers ambayo inasemekana ina damu ya Kiyahudi ambao wanaamini almasi yote duniani ni ya Wana wa Israel na Mungu ameiweka kwa ajili yao...hawa jamaa wananyonya almasi dunia nzima hata akina Acacia ni baba mmoja mama tofauti!!
Huzalisha almasi Carats 8,000,000 kwa mwaka
.......
 
7/Angola
6032426312adec39d7503f42789436a0.jpg
e8f09e2405a3dd23b128b5c28f9405bb.jpg
64f6a2982d8164aea8d6868fb5d51d19.jpg

Nchi nyingine ya kusini mwa Afrika iliyobarikiwa madini ya Almasi lakini yenye maChenge kibao ambayo yanajinufaisha yenyewe na kizazi chao
Almasi zinapatikana kwa wingi kwenye majimbo ya Luanda Norte na Luanda Sul
Almasi yao kwa mwaka thamani yake hufikia hadi USD 1.3 billion
Kwa mwaka huzalisha almasi kiasi cha Carats 9,400,000
......
 
6/Zimbabwe
0ca20fa58ef459874189eb034d52b4b7.jpg
4c10b105da395aad1707fff62106a393.jpg
074c259cad429fe0275a518541d3fc26.jpg
Hii ndo nchi maskini # 2 barani Afrika kiasi cha kutoka kurejea kwenye Barter Trade (nipe almasi nikupe mbuzi) ila ikaamua kuanza kutumia dola ya Marekani na Rand ya Sauzi maana pesa yao imeporomoka hatari
Mgodi maarufu unamilikiwa na kuendeshwa na Rio Tinto
Almasi ya Komredi Mugabe hufikia hadi thamani ya USD 540 Milioni kwa mwaka
Huzalisha Carats 10,400,000 kwa mwaka
.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom