eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,401
Habari y'a kuamka hukuuu
KwemaaqHabari y'a kuamka hukuuu
NzuriHabari y'a kuamka hukuuu
Uko niliko nini, hata kwetu toka Jana mchana mpaka leo ni ziiii... Wala hamna daliliHuku Uswaz kwetu tumelala giza km bundi jana na tumeamka gizani km kuku bandani na hadi sasa umeme haujarudi
Jovyo hata simu chaji imekata ila IPTL/Dowans nasikia hata umeme usipokiwepo wanalipwa tu mamilioni yao kila siku
.....
Familia iko poa sana, nisijue kwakoFamilia haijambo
Nzuri T mke wa Shululu.... Hujambo wewe?Hbr ya asubuhi
Nzuri za kwakoHabari za asubuhi wapendwa wangu
Zangu nzuriii kabisaaaNzuri za kwako
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji120] [emoji120] kumbe cyatoiMaua mazuri sana mama watoto wangu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji108] [emoji108]Kumbe wajuaga vile nina mapenee mingiii na mama pedesheee cheupe hapana iko kuwa na taabu
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Sina mume mie
[emoji134] [emoji134] hii ya makanikia nayo haiwaachi watu salama
Swalama kabisajaman swalama humu ,Napita tu mie wala sina madhara
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Asante, nawe piaWadau kwa wale waliokuwa wanajiuliza kuhusu JK kushtakiwa kwa aligoyafanya akiwa Waziri nafikiri Fundu Lissu kawafafanulia vizuri kwamba Wakati akiwa Waziri hakuwa na kinga ya urais hivyo hata sasa anaweza kushtakiwa kwa yote aliyoyafanya kabla hajaingia pale Magogoni hivyo hata Sizonje anaweza pia kushtakiwa kwa uuzwaji wa nyumba za serikali wakati akiwa Waziri
Niwatakie siku njema
...........
Mikataba mikataba, pia kumbuka tumepata uhuru 2015 [emoji3] [emoji3] [emoji3]Huku Uswaz kwetu tumelala giza km bundi jana na tumeamka gizani km kuku bandani na hadi sasa umeme haujarudi
Jovyo hata simu chaji imekata ila IPTL/Dowans nasikia hata umeme usipokiwepo wanalipwa tu mamilioni yao kila siku
.....
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Sina la ziada tukutane tena kesho Nawatakieni siku njema
Barikiwa sana shemeji