shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Ngoja aje ajibuKwani bagheshi na wewe kwenye mitala umo?

Hii tafiti kiboko.... What is the mechanism?Hata mimi ngoja niwakimbie. Mungu Atulinde na kesho itukute salama. Nawapenda nyote na nyinyi sasa ni sawa na ndugu!
Mlale salama na ikibidi zingatieni kautafiti haka![]()
♂️
♂️
♂️
![]()
Ok... I had a hunch that it stands for something obscene...its like D, what stands for D if I have to reverse the qn Mzeewakungoa
Mmh punguza povu ni kwa ajili ya afya yako teh teh tehhivi eenh niliingia asubuhi au mchana halaf bundle unaninunulia ww au
Muziki na Makosa
Ni wakati wingine tena tunakutana hapa hapa pa siku zote Makapuku wenzangu. Natamani kuwaita waheshimiwa makapuku lakini kila nikitaka kutamka hivyo ulimi unakuwa mzito, ulimi zege, maana wale waheshimiwa kule bungeni hawajui hata wanafanya nini na bado wanajiita waheshimiwa. Waheshimiwa wabaki mahakimu tu
na hii ndo sababu ya kuchukia kuitwa mkuu, maana kuna mkuu hana vyeti, mwingine kala rambirambi, mwingine alitaka kuhongwa na ACACICIA huku ndo akiwa kichwa kabisa na bahati mbaya si TAKOKURU wala TBS waliojitokeza kuangalia viwango. Wakuu wabaki walimu tu
Najua kabisa kutenda makosa ndo ubinadamu, uanamume na uanamke na si zaidi ya hapo. inakuwa mbaya sana pale unapofanya makosa na ukawiwa kabisa na nafsi kwamba umefanya makosa ila kwa kibri tu unajikausha na kuamua kusingizia wengine wasiotenda uliyotenda kuwa ndio waombe msamaha. yaani hii ni sawa na makanikia na sisiemu jumlisha uzalendo wa nchi yetu. Ipo siku, yana mwisho kama alivyowahi kusema Shafi katika Kuli.
Hivi naandika nini hapa, najishangaa lakini vidole vinazidi kutiririka tu kuelekea chini.
Les Wanyika ndo tunao leo humu kwenye muziki na utamu wa gitaa, unaikumbuka Shilingiu Yaua tena Maua, pamela na nyingine tamu nyingi? Well kama hukumbuki ngoja nikukumbushe kidogo.
Wanyika band zilikuwa zinaongozwa na Wakenya na Watz ambao miaka ya 70 walikimbia uchumi mbovu kwenye tasnia ya muziki nakwenda Kenya huko wakaanzisha band na kupata mafanikio makubwa ambayo hata hivyo hawakudumu sana. nawaongerea kina Kinyongas na Ngereza. siku nyingine tutawaangalia ndugu hawa ila leo tupate kibao chao matata sana
Ni clip ya YouTube, na kaa ukijua hiki si kipengele cha zilipendwa bali muziki na utamu wa gitaa
Na wewe siku hizi umekuwa na tabia za kike udaku udaku tu.Unaweza kukuta mtu mwenyewe hana nyuma wala mbele
Anafikiri kila mtu lazima ashinde ofisini tu au shambani.....wengine tunafuga mbuzi , wengine wamerithi tu mali hivyo hawahangaiki
Samtaimu watu km hao hawastahili hata kujibiwa!!!![]()
Kila ntu aishi maisha yake
........
Majukumu kidogo yalizidkwani ulikuwa wapi
Tafiti za Bongo hazina cha mechanism wala nini. Just take it and run with it...Hii tafiti kiboko.... What is the mechanism?
Avatar ile tumeipigania tumechoka. Sasa tumewekewa Mhabeshi mbichiiii...Majukumu kidogo yalizid
naona ile avatar ya mapaja mazuri umeiondoa
Gitaa la solo dah. He makes it look easy lakini mimi nilijaribu hata uzi hautoi sautiMuziki na Makosa
Ni wakati wingine tena tunakutana hapa hapa pa siku zote Makapuku wenzangu. Natamani kuwaita waheshimiwa makapuku lakini kila nikitaka kutamka hivyo ulimi unakuwa mzito, ulimi zege, maana wale waheshimiwa kule bungeni hawajui hata wanafanya nini na bado wanajiita waheshimiwa. Waheshimiwa wabaki mahakimu tu
na hii ndo sababu ya kuchukia kuitwa mkuu, maana kuna mkuu hana vyeti, mwingine kala rambirambi, mwingine alitaka kuhongwa na ACACICIA huku ndo akiwa kichwa kabisa na bahati mbaya si TAKOKURU wala TBS waliojitokeza kuangalia viwango. Wakuu wabaki walimu tu
Najua kabisa kutenda makosa ndo ubinadamu, uanamume na uanamke na si zaidi ya hapo. inakuwa mbaya sana pale unapofanya makosa na ukawiwa kabisa na nafsi kwamba umefanya makosa ila kwa kibri tu unajikausha na kuamua kusingizia wengine wasiotenda uliyotenda kuwa ndio waombe msamaha. yaani hii ni sawa na makanikia na sisiemu jumlisha uzalendo wa nchi yetu. Ipo siku, yana mwisho kama alivyowahi kusema Shafi katika Kuli.
Hivi naandika nini hapa, najishangaa lakini vidole vinazidi kutiririka tu kuelekea chini.
Les Wanyika ndo tunao leo humu kwenye muziki na utamu wa gitaa, unaikumbuka Shilingiu Yaua tena Maua, pamela na nyingine tamu nyingi? Well kama hukumbuki ngoja nikukumbushe kidogo.
Wanyika band zilikuwa zinaongozwa na Wakenya na Watz ambao miaka ya 70 walikimbia uchumi mbovu kwenye tasnia ya muziki nakwenda Kenya huko wakaanzisha band na kupata mafanikio makubwa ambayo hata hivyo hawakudumu sana. nawaongerea kina Kinyongas na Ngereza. siku nyingine tutawaangalia ndugu hawa ila leo tupate kibao chao matata sana
Ni clip ya YouTube, na kaa ukijua hiki si kipengele cha zilipendwa bali muziki na utamu wa gitaa

If that is the case, why not go with D and P or M and K? Aaaaargh !!!..its like D, what stands for D if I have to reverse the qn Mzeewakungoa
Hapana. Dini yangu inaruhusu kula kiti moto lakini siyo mitala!Kwani bagheshi na wewe kwenye mitala umo?
Ata sijui nilichomanishaBaba D hapa umemaanisha nini